Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Tafuta Kitabu cha Misemo na Nahau ukute maneno mengine zaidi ya hayo. Hopeless!

Shunie popote ulipo nimekupenda kunakotukuka Mama.
*ivi Mkuu kwanini unapnda majib ya ovyo hivo?kwani hapo kulikuwa naulazima gani kumwita hopeless?
 
Mkuu inabidi niazime hii lyrics aloo..
 
*wahiiiiiiiii kumbe unaishi maraa afu unakuwa na mdomo kama wakike axe mwanamme hawi hivi mana unamaneno kama wale wamama wa uswazi
 
Acha kujipaisha mkuu,,shunie mke wa MTU naalishawahi kusema wawapi we jamaaa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usimkatishee tamaaa mkuuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio walewale wa prayer za dreams come true, acha waote tu jamaa Gentamycine kaamua aimwagilie kabisa ndoto yake iweze kuchipua
Hahaaaaaaa za dream imemwangukia shunie Sasa
 
Wimbo unaitwaje mkuu?, nataka niutafute niwe nausikiliza mzee
cc. Vladimirovich Putin
Wimbo unaitwa ...' i will be right here waiting for you'

Umeimbwa na *Richard Marx*.

Kawimbo aka , faida yake naijua mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…