Ila huenda asimpige. Sababu sie watu wa Tanga na vipigo tuko tofauti.Dadako anaenda kuchezea vichapo vya Muraa katka kunyeshwa kupendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] msiogope mwambie atazoea tu
Hahahaaa. Mie namshukuru Allah niko mzima kabisa siju weye?Ahsante... Now nimekuona na nimefurahi
For sureIla huenda asimpige. Sababu sie watu wa Tanga na vipigo tuko tofauti.
Na itabidi amfahamishe kwamba siku zote mwanamke hapigwi na fimbo. [emoji85]
baby shem[emoji23][emoji23][emoji23]haya bhana
Me bukheri kabisa,mefurahi kukuona
Mambo baby shembaby shem
Haya majina umekosea au ni mapya?Mungu Awabariki Mpate Watoto Mapacha 2
Grory & Gradness
Vipi mkuu, au umepokonywa tonge???Huu uzi unauma sana.
Kumbe watoka yalikozaliwa mapenzi weye?Ila huenda asimpige. Sababu sie watu wa Tanga na vipigo tuko tofauti.
Na itabidi amfahamishe kwamba siku zote mwanamke hapigwi na fimbo. [emoji85]
Nipo lakini natumikia ibada ya homa...nimebanwa na homa tangu juzi.Lakini nimeanzia dozi ya Duocotecxin jioni hii.Hahahaaa. Mie namshukuru Allah niko mzima kabisa siju weye?
Mzima lakini mkuu?Ila huenda asimpige. Sababu sie watu wa Tanga na vipigo tuko tofauti.
Na itabidi amfahamishe kwamba siku zote mwanamke hapigwi na fimbo. [emoji85]
Mimi niliyenaye ni mke wangu, sina wivu ila mtongozo wako umechelewa.Mbona hata Wewe pia huyo uliyenae ni Demu wa Mtu na hatusemi? Unaonekana umeumia sana Mkuu halafu umewekeza katika Wivu na Majungu badala ya Maendeleo.
Duuh! Pole sana aisee. Hapo inabidi usiwe mvivu kula na kunywa maji kwa wingi ili dawa zisikupelekeshe.Nipo lakini natumikia ibada ya homa...nimebanwa na homa tangu juzi.Lakini nimeanzia dozi ya Duocotecxin jioni hii.
Mie sijambo kabisa sijui wewe. Hatujaonana siku mbili tatu hivi kulikoni.Mzima lakini mkuu?
Ahsante sana kwa ushauri na dua zako.Duuh! Pole sana aisee. Hapo inabidi usiwe mvivu kula na kunywa maji kwa wingi ili dawa zisikupelekeshe.
Pole sana. Nina imani utakaa sawa soon.
Mzee huyu jamaa ana misemo ya kizee sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Du! Pole mkuu
niko poa ile kinomaaaa...mich youuu balaa...hivi upo??Mambo baby shem