Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Teh teh..Wikend ndo hiyo imeanza..Nipe locationsMscheewww. Nakuangalia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..Wikend ndo hiyo imeanza..Nipe locationsMscheewww. Nakuangalia tu
HahahahahaaaaaFanya ufanyalo jiepushe na ban ila kaa ukijua ndugu yako nanyang'anywa mwali.
Umeona eenh kuna mijanaume haijui kujiongeza mfyuuuuKwanza kuomba kipaji daah. Kwanini nikuombe wakati unajua we bwana angu. A
Sakayo dada angu sasa nimeshangaa uniambie nishare nae hivi angekubali kweli nikimwambia anisaidie nimezidiwa mzigua dada angu upande wa tanga wakunyumbaSakayo...Mzigua kwani ni dada yako???
MhSasa na wewe mara uniite shemeji mara umewaacha wote nimebaki peke yangu...what exactly do you want. Tuma kwanza account number nifanye muamala kabla haujanivuruga nikabadili mawazo. Hili jambo la Genta sio jepesi, penzi langu kwa Shunie limeenda vidato
Nakusikiliza wewe bby unanipeleka wapi leo. Kule umenipeleka last time tusiende tena hawajui kutengeneza cocktail nzuri halafu.Teh teh..Wikend ndo hiyo imeanza..Nipe locations
Me sijamtosa jaman aliniacha kwa hasira zake tuHahahaahaaa. Anaumia roho haamini kama umemtosa
Hahahahahaaaaa
Ivi hujawahi kunyang'anywa tonge mkononi ukiwa kwenye hatua za kulipeleka mdomoni!!
Ahahhah hapana nakutengenezea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaniharibia
Anasubiri aombwe etii. Halafu wakitoka hapo wanasema wamawake wanaomba sanaUmeona eenh kuna mijanaume haijui kujiongeza mfyuuuu
Khaaaaaa unanikana leoAma kweli akufukuzae hakwambii toka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yangu mijichoMnoooo. Yani tulivyo na wivu halafu mi sijui kucheat. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
AbeeeeAisee imebidi tuingie mkuu.
Cc: sakayo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan baba yeyoo weweFanya ufanyalo jiepushe na ban ila kaa ukijua ndugu yako nanyang'anywa mwali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Matako siku hizi yanaishi bafuni?
Swali jepesi kabisa hili kwa mwanaumeNimemwambia atakubali kuwa mme wa pili
ShemelaaaaaMie sitii neno