Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana Genta kwa hiyo ule uzi uliokeshesha watu usiku wa manane ulikuwa unanihusu jaman shunie mm kupendwa na Genta [emoji4][emoji4] asante kwa kunipenda si unajua vile nilivyo shabiki wako toka sijawa member jf nafatilia thread zako na baadhi ya michango yako

Kupendwa na Genta jf na thread juu kukufungulia si jambo la mchezo mchezo [emoji7][emoji7] nakupenda pia sasa utakubali kuwa mume wa pili jaman[emoji39][emoji85][emoji85]

Nipo tayari kuwa Mume wa Pili na hata ikibidi ' Kufariki ' kwa ajili yako Shunie. Mimi Kwako ni kama vile treni ya Bara ya TRL imefika Kituo cha mwisho cha Kigoma. Nakupenda hadi Mbinguni Kuume kwa Mungu Baba pamoja na Malaika wake Wakuu wawili Jibril na Mikaela wanajua.
 
Back
Top Bottom