imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Si tuliambiwa tuhamie huko na Mwigulu?Huyu ni Mrundi ujue!
Si tuliambiwa tuhamie huko na Mwigulu?Huyu ni Mrundi ujue!
Maana anajua namba mbili ni Mrundi pia!Si tuliambiwa tuhamie huko na Mwigulu?
Kimbunga juu ya kimbunga!!!
..... kwani CHADEMA ni warundi kama Ponda?!!Kama Watu wakidai HAKI ni CHADEMA basi tunataka hiyo Credit💪✌️✌️
BAKWATA si warundi akina Ponda.....Basi kumbe bakwata ni kundi la kutetea majizi ya kura za wananchi.
Hao ni WARUNDI wamezoea SHARI...wanataka kisiwa cha AMANI kipotee...Maimamu mnaingia mtego wa watu waachieni wenyew bora ccm tunayoijua kuliko hao tusiwajua msgasahau mlipopigania uhuru na nyerere akawafanyaje ohhh eachieni wenuew wa vigango
Hizo huwa ni fitna za CCM wakishakosa Hoja 😁..... kwani CHADEMA ni warundi kama Ponda?!!
Viongozi wa Dini wanatakiwa kusimamia HAKI safi sana.
Msihangaike na huyo mjinga, nishapiga tofali kitambo sanaKama Watu wakidai HAKI ni CHADEMA basi tunataka hiyo Credit💪✌️✌️
Halafu tulishawaambia watu wa dini kwamba iwe Marufuku kuwaombea wezi wa uchaguzi, na wamekubali
Yule kichaa, anakula kazi kuzimuni. anavuna alichokipanda.Shehe wa kweli waambie ukweli Hawa wezi wa Kura aliouanzisha yule kichaa!
Bado hujasema. Utachanganyikiwa sana mwaka huuMaimamu mnaingia mtego wa watu waachieni wenyew bora ccm tunayoijua kuliko hao tusiwajua msgasahau mlipopigania uhuru na nyerere akawafanyaje ohhh eachieni wenuew wa vigango
Huu Sasa Ndio Uislam, sio ule Uhuni wa Kutangaza Amani Amani huku HAKI imefichwa.
Ni sawa tule twanafunzi , Kila kukicha "Mama asamewe" alafu tunashindwa hata kukaa na kujadili Report ya CAG .
View: https://youtu.be/YA2lkPJ7wcE?si=zc0Qm83HUtKFQsmA
Wasemaji wako wewe, sio Waislamu wote.BAKWATA ndio wasemaji wetu waislamu wa Tanzania.....si hao akina PONDA.....