PreGE2025 Shura ya Maimamu yatoa tamko, yamtaka Rais kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Uchaguzi

PreGE2025 Shura ya Maimamu yatoa tamko, yamtaka Rais kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maimamu mnaingia mtego wa watu waachieni wenyew bora ccm tunayoijua kuliko hao tusiwajua msgasahau mlipopigania uhuru na nyerere akawafanyaje ohhh eachieni wenuew wa vigango
Jisemee wewe, sawa?

Hata hiki kitu kidooogo kabisa kukielewa umeshindwa?

CCM vichwa maji sana nyie
 
Samia aache kushupaza shingi,this time no reform no election inanguvu sana,asiingize nchi yetu kwenye machafuko harafu yeye aende Oman Kwa ndugu zake,Samia akataliwe Kila sehemu
 
i can not agree with them for hundred percentage because religions are the parts of controlling people, so maybe this statement is for their own benefit but to know it needs to think twice
Huna unachojua na poor english yako, bora ungeandika kiswahili tuu
 
Imesha ondolewa kwa hewa..... 🤣 🤣 🤣 Tumekuwa waoga sana
 
Back
Top Bottom