PreGE2025 Shura ya Maimamu yatoa tamko, yamtaka Rais kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Uchaguzi

PreGE2025 Shura ya Maimamu yatoa tamko, yamtaka Rais kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huna unachojua na poor english yako, bora ungeandika kiswahili tuu
mnapendaga kukosoa english za wenzenu na kushauri bora waandike kiswahili utadhani kila mtu anajua kuandika kiswahili humu. Muwe mnakuja na engilis yenu sahihi tuone kama nanyi mnapatia hamkosei. Umeambiwa no reforms no election ishafika kwa kwa shura ya mamaimamu, tusubiri pasaka tuone maaskofu na mabaraza yao nao watasema nini kuhusu sheria za uchaguzi au watazungumzia mambo mengine wakikwepa ya uchaguzi mkuu mwaka huu
 
i can not agree with them for hundred percentage because religions are the parts of controlling people, so maybe this statement is for their own benefit but to know it needs to think twice
Kuongea Kingereza haimaanishi umeongea Kwa kutumia Akili.

Karibu kuwaza, Maimamu na uchaguzi ,wao wananufaila nann ??.

Wasipoongea au wakiongea, wananufaika nann au nani ananufaika??.
 
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)

KUNA MAMBO HAYAKO SAWA

Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu kama mimi. Haya yote yanaunganishwa na neno HAKI au kwa Kijaluo JUSTICE.

Kuna mambo 10 hayako sawa kwa sababu:

1. Hivi sasa, Mtu anapozungumzia HAKI, anatazamwa yeye ni dini gani badala ya kusikiliza anaongea nini!

2. Mtu akiongelea HAKI anatazamwa ni wa chama gani badala ya kusikiliza anaongea nini?

3. Mtu akilalamika amepotelewa na nduguye, anaambiwa anavuruga amani.

4. Mbuzi akipotea anapatikana lakini mtu akipotea hapatikani.

5. Kupoteza mtu ni kutunza amani lakini kulalamika kuwa mtu amepotea ni kuvuruga amani.

6. Kutumia dini kueneza siasa ni dhambi lakini kutumia siasa kueneza dini ni sawa tu.

7. Kumsifu mtu akifanya vizuri inapendeza, lakini kumkosoa akikosea ni sawa na kumdai marehemu kabla hajazikwa.

8. Yaonekana kuna dini inayohubiri amani bila kuhubiri HAKI na kuna dini “inajifanya”kuhubiri HAKI bila kuhubiri amani. Mimba ya HAKI ni amani lakini AMANI bila HAKI ni tasa.

9. TUMEGAWANYIKA: Wapo wanaoona mtutu wa bunduki unavuruga amani. Na wapo wanaoona mtutu wa bunduki unatunza amani. Msuluhishi wa kweli anaitwa HAKI.

10. Rais ni wetu sote. Anaongoza wapenda HAKI na wapenda AMANI. Hatuna shaka na mahaba yake kwa AMANI. Wapenda HAKI wanasikia baridi. Tulimsikia akiapa kuongoza kwa HAKI. Bahati njema, HAKI ilimbeba. A
1743486629591.jpg

kiibeba kama ilivyombeba, AMANI itafurika kama Bwawa la Mwalimu Nyerere. HAKI na AMANI vipeane busu.

Hekima ya Wajaluo: Kuchelewa kwenda msalani, hakuzuii njaa kuuma.
 
Anaendelea kupotosha kuhusu MoU kati ya wakristu na serikali. Kimsingi MoU iliingiwa baada ya kukiri kuwa haina uwezo wa kuendesha shule na hospitali ilizo taifisha kutoka taasisi za kikristu. Taasisi za kikristu zilikataa kupokea hizo shule na hospitali bila ahadi kuwa serikali haitazitaifisha baada ya wao kuziboresha.

Aidha hicho kinachoitwa ruzuku ni kuziwezesha kutoa huduma za gharama nafuu katika maeneo ambayo serikali haitoi huduma hizo. Kama kuna taasisi za kiislamu zinatoa huduma hizo kwa gharama nafuu zinaweza kufanya makubaliano na serikali. Taasisi ya kiislamu iliyowekeza sana katika afya na elimu ni Aga Khan. Wote tunajua gharama za Aga Khan.

Tofauti ya Ponda na wakina Bagonza ni kwamba yeye anajiona kama ni mtetezi wa waislamu ( ambalo sio jambo baya) wakati Bagonza anatetea watanzania bila kujali dini yao. Kwa mawazo yangu ndio maana ni rahisi kumshutumu kuwa ni mchochezi wa kidini. Ajitahidi kupanua wigo la anaowatetea maana sio waislamu peke yao wanaopata shida.

Amandla...
 
changamoto ya Shelkh Ponda ni kutetea dini ake pekee badala ya watanzania wote
 
Hahaha, mamodinyo wameshafanya yao baada ya kupewa maelekezo maalum.
Haya Lamomy njoo ushuhudie utopolo uliofanywa na vijana uliokuwa unawatetea.

Bongo ni nyoso na nyoso ni bongo😅😂.
Sasa hapo mod’s wamefuta nini?
Waliofuta ni huko you tube, wapumzisheni mamodi basi..!! 😹
 
Nilikuwa tu unawatetea ili siku ukitukana wakuonee huruma wasikubani.
Wala siwatetetei halafu we kumbe hujui, hakuna member aliyekua anachezea ban km mimi humu 😹😹😹

Ni vile siku hizi nimeacha ukorofi, humu kulikua muda wote kunadamshi, unaujua uzi wa selfika? 🤣
 
Wala siwatetetei halafu we kumbe hujui, hakuna member aliyekua anachezea ban km mimi humu 😹😹😹

Ni vile siku hizi nimeacha ukorofi, humu kulikua muda wote kunadamshi, unaujua uzi wa selfika? 🤣
Yayayaya, ule Uzi wa selfika naanza kuutembele kwa uangalalifu kuanzia page ya Kwanza hadi ya mwisho nione what's there.

Nitajie ID uliokuwa unaitumia.
 
Yayayaya, ule Uzi wa selfika naanza kuutembele kwa uangalalifu kuanzia page ya Kwanza hadi ya mwisho nione what's there.

Nitajie ID uliokuwa unaitumia.
Acha kufukua makaburi marehemu wamepumzika kwa amani..!! 😹😹😹
 
Maimamu mnaingia mtego wa watu waachieni wenyew bora ccm tunayoijua kuliko hao tusiwajua msgasahau mlipopigania uhuru na nyerere akawafanyaje ohhh eachieni wenuew wa vigango
Hakuna mtego, mfumo wa uchaguzi unahitaji mabadiliko.
Ni ujinga wa hali ya juu kujiona wewe jambo hili halikuhusu,
Kama wewe unaona halikuhusu ,basi ndugu zako linawahusu.
Siku ukitoa AKILI kwenye MIFUKO YA NYUMA YA SURUALI, utaelewa walichokiona mashekhe, kinachosemwa na CHADEMA, kinachosemwa na ACT Zanzibar.
 
Wamesemaje kuhusu mwanamke kuongoza kinyume na maandiko
 
Back
Top Bottom