The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Huu Sasa Ndio Uislam, sio ule Uhuni wa Kutangaza Amani Amani huku HAKI imefichwa.
Ni sawa tule twanafunzi , Kila kukicha "Mama asamewe" alafu tunashindwa hata kukaa na kujadili Report ya CAG .
View: https://youtu.be/YA2lkPJ7wcE?si=zc0Qm83HUtKFQsmA
Hili tapeli toka DRC halina cha kusema zaidi ya kutaka kuanzisha chokochoko. Ponda, kama angekuwapo rais mwenye kujitambua alipaswa awe amerejeshwa kwao DRC haraka sana iwezekanavyo. Eti anataka ruzuku ya nini? Eti dini ipewe dini ili iweje? Ni uongo mkubwa. Kama wanatoa ruzuku kwa majizi yaliyovaa majoho basi haifai kabisa. Huu ni uchochezi wa kiwango cha lami. Yaani, hamna fedha ya kuwalisha wanafunzi au kutibia wagonjwa au wakulima mtapata wapi fedha ya kuwapa hawa. mabaki ya wakoloni? Shame on you.