Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Naweka seat, nitarudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezungumzia watatoka vipi sijasema wasitokeVijana mtoke nyumbani mkajitegemee
Wewe muhudhuriaji mzuri katika vipindi vyangu,hongera😅Mtoto kwanzia akiwa mdogo mjenge ajue thamani ya pesa ,na jinsi ya kupata kipato na kukitunza , then kama una nia ya kuja kumpa mtaji au kumwacha ajitegemee itakua poa sna , usije ukampa mtaji au kumwacha ajitegemee mtoto ambae haujamfundisha vzuri.
Baba yako ni mafiaMimi baada ya kuingia kidato cha tano shule ya boarding chumba changu kilipangishwa, ilikua ni alama ya sasa sina makazi ya kudumu nyumbani ilimaanisha natakiwa nianze kujitegemea. Toka wakati huo nilijitegemea rasmi.
Namshukuru kwa kitu alinijengea kwenye akili ya kwamba katika maisha nahitaji kutafuta mali yangu. Toka wakati huo sijawahi lilia shida mtu yoyote bila kujali hali ngumu niliyopitia, Najivunia leo kwa kila nilichonacho ni kwa juhudi zangu binafsi(labda na Mungu), sina haja ya kunyenyekea mtu yeyote bali kuheshimu kila mtuBaba yako ni mafia
Usingekuwa attention angekuathiri kisaikolojia huo mimi naita ni unyanyasajiNamshukuru kwa kitu alinijengea kwenye akili ya kwamba katika maisha nahitaji kutafuta mali yangu. Toka wakati huo sijawahi lilia shida mtu yoyote bila kujali hali ngumu niliyopitia, Najivunia leo kwa kila nilichonacho ni kwa juhudi zangu binafsi(labda na Mungu), sina haja ya kunyenyekea mtu yeyote bali kuheshimu kila mtu
Sasa usi apply hiyo kitu kwa watoto wako eti kwa sababu wewe ilikutokea na ukasurviveNamshukuru kwa kitu alinijengea kwenye akili ya kwamba katika maisha nahitaji kutafuta mali yangu. Toka wakati huo sijawahi lilia shida mtu yoyote bila kujali hali ngumu niliyopitia, Najivunia leo kwa kila nilichonacho ni kwa juhudi zangu binafsi(labda na Mungu), sina haja ya kunyenyekea mtu yeyote bali kuheshimu kila mtu
Watu watu hata nauli tulinyimwa town tumeingia kwa fuso la viazi tukapokelewa na farasi mweupe tukajikuta getto la maselaKuna dhana imezoeleka na wazazi ambao vijana wao wamefikia umri wa kujitegemea kuwaruhu ama kuwataka waondoke nyumbani ili hali hawana chochote na inawezekana hata kazi hana inayoeleweka.
Hii hali ina athari nyingi sana kwa vijana wa jinsia zote ila kwa wakike ndio zaidi. Kijana kuhitimu chuo haimaanishi kwamba sasa anaweza kumudu kila kitu,bado anakuwa na changamoto za kutqfuta kibarua ili aweze kujikimu.
Kwa upande wangu mimi nitafanya hivi ,wanangu kutoka nyumbani itakuwa ni option,na anapotoka nilazoma nijue kwa uyakinifu anaenda wapi na kwanini? Akinipa hoja yakinifu na nikazikunali basi nitagharamia kila kitu,kodi ya nyumba miezi 6, pesa yakujikimu miezi 6( hata kama anamshahara) kama amepata kazi,!,nitam unulia kila kitu ambacho ni hitaji muhimu kwa kuanza maisha ikiwemo kitanda, na godoro na mengineyo.
Kama ameamua kufanya biashara basi nitampatia mtaji,na nitaifuatilia mpaka pale jitakapo ona imesimama,na katika kipindi hicho chote nitampatia mahitaji muhimu mpaka pale biashara itakapo shinda kipindi cha mpito.
Unamruhusu mtoto aondoke halafu mkononi hana kitu wala hana kitu cha maana, matokeo yake kama ni wa kike anashawishika kujiuza.
Hakikisha mtoto kasimama na unauhakika kasimama kikamilifu ndio umuache.
Usiwafanyie wanao sasa😅😅😅Watu watu hata nauli tulinyimwa town tumeingia kwa fuso la viazi tukapokelewa na farasi mweupe tukajikuta getto la masela
Tuka Toka kwa kudra za mwenyezi Kama hatuna ndugu
Tumeingia kitaa tukafanya tuka jurikana tulipo jurikana waka tutafta walipo tutafta hatukuwa tupa tuko nao pamoja
Kwani tunajua ilikuwa nimaisha tuu
Vipi nyie watoto wakishua😄😄😄
Well, ila kukosa attention tu tayari ni tatizo la kisaikolojia.Usingekuwa attention angekuathiri kisaikolojia huo mimi naita ni unyanyasaji.
Yaah watoto wangu wataamua wanavyotaka ilimradi isiende kinyume na Taratibu ama sheria ama maadili.Sasa usi apply hiyo kitu kwa watoto wako eti kwa sababu wewe ilikutokea na ukasurvive
Lakini sio kwakumfukuza ama kumuacha ahangaike mtaani ilihali unaweza kumuongoza mpaka akasimamaBinadamu ni wakuja na kuondoka…kuna baba kumzika mtoto au mtoto kumzika baba…walee wanao wakijua ipo sku watakuwa pekee yao ktk huu mgongo wa dunia
Hakuna mzazi anaependa mwanae ahangaike mtaani…ila wapo watoto wanaopenda kuwa boy street wakijiita maselaLakini sio kwakumfukuza ama kumuacha ahangaike mtaani ilihali unaweza kumuongoza mpaka akasimama
🤣🤣Wanajiita masela?Hakuna mzazi anaependa mwanae ahangaike mtaani…ila wapo watoto wanaopenda kuwa boy street wakijiita masela
Eeh si unajua usela mavi ile baleghe ya kwanza inakuja na mapepo….🤣🤣🤣Wanajiita masela?
🤣🤣🤣🙌Eeh si unajua usela mavi ile baleghe ya kwanza inakuja na mapepo….🤣