Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Wewe ndio huelewi kabisa somo, zero. Hivi hata umefika Dar kweli?Ndio, vyote hivyo ni vipaumbele kwa sababu havipo bado, kigamboni bridge lipo tayari na linafanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio huelewi kabisa somo, zero. Hivi hata umefika Dar kweli?Ndio, vyote hivyo ni vipaumbele kwa sababu havipo bado, kigamboni bridge lipo tayari na linafanya kazi
Nina nyumba kigamboni, haya toa hoja sasaWewe ndio huelewi kabisa somo, zero. Hivi hata umefika Dar kweli?
Probably Kigamboni is a tourist resort, to be precise Kigamboni is Acapulco of Tanzania.Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba KIgamboni kuna hao wanyonge wengi tu.
Sasa kwanini hawa wanyonge wa KIgamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda KIgamboni? Tunajua kwamba hata ukienda KIgamboni kwa daladala bado unalipa kutumia daraja hili. HUu ni ubaguzi unaofanywa na serikali kwa wananchi wa Kigamboni na haukubaliki hata kidogo.
Daraja la kwenda Kigamboni ni huduma ambayo serikali inapaswa kutoa kwa wananchi wake, sawa tu na kujenga daraja la Mkapa ili kuwahudumia wananchi kwenda Rufiji, au daraja la Mto Wami kwa wananchi wanaokwenda mikoa ya Kaskazini.
Sasa kama wale wanaovuka daraja la Wami kwenda Arusha, au Rufiji kwenda Lindi, au hata Ruaha kwenda Iringa - kama hawa hawatozwi fedha kuvuka haya madaraja, kwa nini wananchi wanaokwenda Kigamboni watozwe fedha?
Suala la kusema wananchi wanalipa kwa kuwa serikali inamiliki 40% na NSSF 60% halina mantiki. Serikali inapaswa kuwalipa NSSF hizo 60% ili daraja hili liwe ni mradi wa serikali ambao ulijengwa ili kuwahudumia wananchi, kama vile madaraja mengine ya Mkapa, Wami nk.
NInatoa wito serikali ikomoshe ubaguzi huu kwa kuwafanya baadhi ya Watanzania walipie huduma ya kutumia daraja na wengine wasilipie. Hakuna mtu anakwenda Kigamboni kwa upendezi wake (personal interest), kwa hiyo kuvuka daraja hili hakupaswi kuwa huduma ya kulipia ikiwa kutumia madaraja mengine hatulipii.
Kigamboni is a residential area, with traditional villages like GezauloleProbably Kigamboni is a tourist resort, to be precise Kigamboni is Acapulco of Tanzania.
Sawa, utakuwa mojawapo wa watu ambao wakipata wanaona wale wasionacho hawana akili sawasawa. Kutoa elefu 4000 kila siku ili kuvuka daraja si wote tunaoweza. Hapo ni nusu kilo ya nyama na viungo kila siku nalisha familia.Nina nyumba kigamboni, haya toa hoja sasa
Nilimuamini Makonda, kumbe sivyo! Sasa na ile Dubai ya Kigoma na yenyewe itakuwa tumepigwa!Kigamboni is a residential area, with traditional villages like Gezaulole
Kama huna kwanini usipande daladala ambapo hutalipia chochote zaidi ya ile nauli tu ya kawaida? Badala yake utumje gari binafsi halafu uje ulalamikie kulipia daraja lililojengwa kwa pensheni za wavuja jasho waliostaafu na ambao wanategemea wewe ulipe na wao ndio walipwe viinua mgongo vyao?Sawa, utakuwa mojawapo wa watu ambao wakipata wanaona wale wasionacho hawana akili sawasawa. Kutoa elefu 4000 kila siku ili kuvuka daraja si wote tunaoweza. Hapo ni nusu kilo ya nyama na viungo kila siku nalisha familia.
Ndio unajidanganya kua kwa daladala hulipi eeh, kiuhalisia nauli ya daladala k/Koo ni 400/= imeongezeka kwa ajili ya daraja kwa hiyo unalipiaKwa miguu na baiskeli darajani ni bure, kwa daladala wewe unalipa nauli tu, hulipii darajani, kama una gari na umeweza kutenga pesa ya mafuta, basi tenga na 3,000/= ya kuvuka.
Hivi una akili za namna gani wewe mzito kiasi hiki kuelewa? Suala hapa sio nani ana uwezo wa kulipa au la - suala ni kwamba madaraja Tanzania ni haki ya huduma kwa wananchi. Kama tunalipa Kigamboni waweke toll kwenye madaraja ypote basi - hata na hizo flyover ili kuwe na usawa - equity, unaelewa maana ya equity lakini?Kama huna kwanini usipande daladala ambapo hutalipia chochote zaidi ya ile nauli tu ya kawaida? Badala yake utumje gari binafsi halafu uje ulalamikie kulipia daraja lililojengwa kwa pensheni za wavuja jasho waliostaafu na ambao wanategemea wewe ulipe na wao ndio walipwe viinua mgongo vyao?
NSSF irudishiwe fedha zake na serikali, sio wananchi
Kwa miguu na baiskeli darajani ni bure, kwa daladala wewe unalipa nauli tu, hulipii darajani, kama una gari na umeweza kutenga pesa ya mafuta, basi tenga na 3,000/= ya kuvuka.
Hawa ndio wale wakilala hoteli ya B&B wanasema hii hoteli nzuri sana wanatoa breakfast bure! Utawajua tu, kutokana na point zao za kijima humu JF.Ndio unajidanganya kua kwa daladala hulipi eeh, kiuhalisia nauli ya daladala k/Koo ni 400/= imeongezeka kwa ajili ya daraja kwa hiyo unalipia
Acha kuzunguka mbuyu, hayo yote tumeshajadili, hatuwezi kugharamia daraja ambalo tayari lipo na linafanya jazi tuache kujenga mapya; unaelewa maana ya vipaumbele?!Hivi una akili za namna gani wewe mzito kiasi hiki kuelewa? Suala hapa sio nani ana uwezo wa kulipa au la - suala ni kwamba madaraja Tanzania ni haki ya huduma kwa wananchi. Kama tunalipa Kigamboni waweke toll kwenye madaraja ypote basi - hata na hizo flyover ili kuwe na usawa - equity, unaelewa maana ya equity lakini?
Na nimesema serikali irudishe fedha za NSSF zilizotumika kujenga kwa kuwa ni jukumu lake kujenga madaraja. Kwa hiyo kusema tunalipa fedha kutumia daraja ili turudishe fedhaza wastaafu sio point ya kuongea.
Hayo malipo yanakuwa absorbed na hayawezi kuwa felt significantly maana kwenye basi wanapanda abiria wengiNdio unajidanganya kua kwa daladala hulipi eeh, kiuhalisia nauli ya daladala k/Koo ni 400/= imeongezeka kwa ajili ya daraja kwa hiyo unalipia
Kwa miguu na baiskeli darajani ni bure, kwa daladala wewe unalipa nauli tu, hulipii darajani, kama una gari na umeweza kutenga pesa ya mafuta, basi tenga na 3,000/= ya kuvuka.