mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
"Mtu anayekubali Vipande fulani vya Biblia na kukataa Vingine anatenda kosa kubwa"
Author Simkumbuki
we we iman gan 2anzie hapo yawezekana n hbar z kuhadthiwa n hujui lolote nd maan bdo n ucku wa kza kwako ,na km n mkrstu una2mia muda gani walau kw wki kusoma hyo bible yenyewe? n km unasoma je unaielewa? kabla y kuanzisha mjadalaMkuu wewe umesoma bible knowledge au scriptures? hapo penye rangi nyekundu mbona jamaa alielezea vzr kama nilivyosema hapo juu? Jamaa anasema si kosa kufundisha watu kuhusu habari za mambo ya walawi lakini vitabu vingi vya agano la kale viliandikwa si kwa wakristo wala watu wote bali yaliandikwa kwa watu maalumu kwenye mazingira na nyakati maalumu. Jamaa anasema HAKUNA UKRISTO BILA YESU, HAKUNA KITU KWENYE UKRISTO ZAIDI YA KUFUATA MAFUNDISHO YA YESU NA MISINGI ILIYOWEKWA NA YESU PAMOJA NA MITUME WAKE. Hakatai watu kusoma biblia nzima ila kuna vitabu siyo relevant kwa wakristo.
Kuna mambo ambayo Kristo aliyatimiza na hilo ulilosema ni mojawapo maana hayo Makuhani walifanya kumuwakilisha Kristo mwenyewe,kwahiyo siwezi kufanya mile ambacho Kristo ametimiza;Mbona hutoi sadaka za kuteketezwa kama walawi(makuhani? walivyofanya?
Wanasoma, ndio maana wanakula kitimoto na kuoa mke mmoja tu tofauti na WayahudiMethali 13:24
"Yeye asiyetumia fimbo hamtaki mwanawe, bali yeye ampendaye humrudi mapema."
Unataka kuhalalisha upuuz aliofanya ustaadh juzNilijua una la maana kumbe ume Google mstari huo huo
Kumbe huu msemo ulitoka hukuhumrudi mapema
Hawa chawa hawana akili kabisaNilijua una la maana kumbe ume Google mstari huo huo
Naona umeachika kwa Mbowe sasa umerudia Uislam tenaMethali 13:24
"Yeye asiyetumia fimbo hamtaki mwanawe, bali yeye ampendaye humrudi mapema."
Amesikia Kuna Michango ya Ujenzi wa misikiti inatolewa na Wanasiasa ππNaona umeachika kwa Mbowe sasa umerudia Uislam tena
Hamna uchungu nacho, kila siku mnakibadilisha maandishiIla wakristo ni wastaarabu sana ...
Unaweza ukawa unachoma biblia huku wanakuangalia tu ..
Watasema amechanganyikiwa huyo "tumsamehe hajui atendalo"
Ila sasa kule uchome kitabu cha mud uone
Huyu ni mchumia tumbo tu sheikh ubwabwaAmesikia Kuna Michango ya Ujenzi wa misikiti inatolewa na Wanasiasa ππ
Una ushahidi gani kama kimebadilishwa ,Acha upunguaniHamna uchungu nacho, kila siku mnakibadilisha maandishi
Mwamposya sidhani amepitia hata Sunday SchoolAmani iwe kwenu wapendwa!
Siku ya mwaka mpya nilikutana na Baba yangu mdogo ambaye alisomea upadre hadi level ya ushemasi na kwakweli alibakiza muda mfupi sana kupewa daraja la upadre, isivyo bahati aliacha kuendelea na wito wa upadre na hivyo aliamua kuwa mlei (mwanandoa).
Sasa juzi hiyo tukiwa tunapiga stori kuhusu mambo ya kanisa na kuhusu maandiko ya biblia pamoja na mafundisho aliniambia kitu ambacho sikukitegemea kutoka kwake. Aliniambia watumishi wa Mungu wako wa aina mbili, kwanza wako wale waliosoma BIBLE KNOWLEDGE halafu wako wale waliosoma SCRIPTURES. Nikamuuliza nini utofauti wa watu hawa?. Aliniambia kama umesoma scriptures kama yeye yaani kama mapadre wanavyosoma basi hutakuwa na complications juu ya biblia. Anasema mtu aliyesoma scriptures anafundishwa biblia kwa kina , chimbuko la andiko hilo , sababu za kuandikwa kwake na mazingira yaliyopelekea kuandikwa kwa kitabu hicho. Kwahiyo kuna vitabu viliandikwa kwa ajili ya watu wa jamii moja ya wana wa Israel mfano Walawi kitabu hicho kiliandikwa kwa watu hao, kwasababu maalum na kwa mazingira ya wakati huo. Anasema kuchukulia kitabu hicho na kukikumbatia kwa waamini wa Tanzania wa karne ya 21 si kosa lakini pia si sahihi sana. Anasema si kosa kwasababu huenda liliandikwa kuonya jamii na kuwapa muongozo ambao huenda mpaka leo unahitajika, lakini siyo sahihi kwasababu kwanza hakikulenga jamii au kanisa la sasa.
Alisema yapo mafundisho mengi ambayo wakristo wanafundishwa kutoka kwenye biblia ila hayakuandikwa kwa ajili yao. Anatolea mfano sera ya ujamaa ambao kwa wakati huo ulikuwa sahihi lakini kwasasa au kwa miaka zijazo hazitakuwa sahihi kutokana na kubadilika kwa mazingira na kutokana na kutoweka kwa walengwa. Anasema VITABU KWENYE BIBLIA VINAFAA KWA MAFUNDISHO ILA VITABU VYA AGANO JIPYA NDIVYO VYA LAZIMA KWA MKRISTO YEYOTE YULE KUVISHIKA, KUVIFUATA KWA USAHIHI WAKE NA KUVIISHI. ANASEMA UKISTO NI UFUASI WA YESU KRISTO NA HAKUNA UFUASI WA KRISTO WAKATI WA KITABU CHA MAMBO YA WALAWI. Akaendelea kusema agano jipya ndilo msingi wa imani ya kikristo na ukristo umejengwa juu ya imani ya mitume wa Yesu na manabii.
Mwisho akanimbia wale wachungaji waliosoma bible knowledge wao wamesoma biblia na namna ya kuitafsiri lakini kuna vitu vingi vya msingi hawajasoma wala kufundishwa , yaani kwa kifupi anasema wana uelewa wa kati kwenye maandiko.
Nini maoni yako.