Si kila mtu ni wa kumkaribisha nyumbani kwako

Basi kama unaamini hivyo, wewe wakaribishe, maana unaweza sema huyu simkaribishi sio mwema kumbe ndio mwema, cha msingi izingire nyumba yako kwa damu ya Yesu, ili kama anakuja na matunguli yake ayaache huko huko
Amina kaka nimekuelewa
 
Kukusoma tu inatosha kutambua hilo
Kwann nikaushe ua nawe ni miongoni mwa wenye roho chafu maana kazi yenu kubwa ni kupinga kuficha uovu mtendao
Thibitisha uwepo wa roho ili nijue , na sio kutoa povu kisa umeshindwa kuthibitisha kama hauwezi sioni haja ya kuendelea kuhojiana na wewe ? Sawa binti
 
Ni kweli kabisa, kuna ndugu wa namna hii pia.
 
Hii ni kweli kabisa
 
Huna tofauti na mlokole aliesema ameoteshwa Au ameona shida sehem ila hawezi ikemea.
Kuna mmoja naishi nae hapa kahamia kutoka ukatoliki mpaka mlokole yani ni tabu kila ndoto anayoiota anataka aitafsiri na tafsiri nyingi ni uongo mtupu, jamaa ni fundi umeme mzuri sana lakini ajabu kila akiitiwa kazi hataki anasema hizo kazi zinakuja katika mrengo wa kishetani
 
Moja ya sababu wananchi wengi wa Bongo land hawaendelei ni miroho ya ubinafsi kama hii ambayo inawaza shirki tu. Akuloge nani bwana wewee
 
Nina ndugu zangu wako hivi.
 
Upo sahihi, kila kitu kinatokea Kwa sababu...!
Sababu inaweza kuwa Negative ama positive...!
Marafiki tunaokutana nao, Jamaa ama Watu wa karibu wote huja kwenye Maisha yetu Kwa sababu ..!
 
Mnatuchanganya sana,

kule kwingine kwa ma entrepreneurs tunaambiwa "Ukiwa mtu wa watu wewe lazima ufanikiwe, Watu ni asset kwenye mafanikio, huwezi kuwa loner ukatusua"

Huku machinjioni, mnatuambia kaa mbali na watu, watakuibia mkeo, watakuloga, watatoa siri zako, watakuwekea ulozi nyumbani kwako, n.k.

Tufanye nini sisi tusiojielewa?
 
WATANZANIA NDIO MAANA HATUENDELEI.
KAMA WEWE NI MSAFI WA ROHO,HAKUNA MTU MCHAFU WA ROHO ANAYEWEZA KUKUCHAFUA.

TOFAUTI NA HAPO,UNAFANYA USHIRIKINA.
 
Kuna watoto um kaz yao n kubisha kila ktu kama ktu hujui funga mdogo wako dunia na walimwengu wakufunze... Ndio mana kuna nyumba ukienda mgen analetewa kiti nje hata seblen uingii utaishia gaden au kibarazan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…