Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Na mi namshangaa huyu jamaa, kwahiyo alitaka mke afurahie tabia ya ubakaji wa mumewe?? Kesho akibaka watoto wake?? Huyo ni muhalifu km wengine na miaka 30 ni haki yake.!!

Huyo mwanamke tumjengee sanamu
 


Hata ukioa, kuwa fala ni uchaguzi, Hata ningetegwaje na binti wa kazi, leave alone minor, siwezi lala naye, kikanuni:

1. Hatulali na wanawake nyumbani.
2. Hatulali na wanawake mtaani.
3. Kama nimewahi chepuka ni mkoa.
4. Siwezi chepuka na tutoto.
5. Nathaminisha mapenzi, sio hivo.

Inawezekana kabisa mke kapeleka jamaa magereza, ila kuna ujinga na upumbavu wa jamaa.......

Nimewahi ku solve kesi ya Kubaka ya jamaa kwenye gari lake ambaye hakubaka, ili tugharimu 10m cash, kuizima.

Wanaume tusiwe wajinga na mambo kama haya, na hii haihusiani na ndoa, inahusiana na ujinga wetu.
 
Mtoto sio dada wakazi,unamkosea zaidi mtoto
 
Na mi namshangaa huyu jamaa, kwahiyo alitaka mke afurahie tabia ya ubakaji wa mumewe?? Kesho akibaka watoto wake?? Huyo ni muhalifu km wengine na miaka 30 ni haki yake.!!

Huyo mwanamke tumjengee sanamu
Hakika huyu mama ni shujaa. Mwanaume mpumbavu wa aina hii si wa kuvumilia. Huyo binti ni sawa na mwanae, kama mlezi wake hakupaswa kufanya huo ufirauni kabisa.
 
Hakika huyu mama ni shujaa. Mwanaume mpumbavu wa aina hii si wa kuvumilia. Huyo binti ni sawa na mwanae, kama mlezi wake hakupaswa kufanya huo ufirauni kabisa.
Kabusa ma. Inatakuwa wanawake wote tuwe na misimamo tusiendekeze wabakaji. Leo kambaka mfanyakazi, kesho atabaka watoto wake wa kuwazaa..!
 
Kule mtwara wanawake wana msemo wao" mumeo muombee njaa mkalime vibarua mrudi nyumbani"
Wanamaanisha kuwa ukwasi kwa mwanaume na ndoa huwa havikai pamoja.
 
Huyu mwanamke ni shetani anaharibu future yake mwenyewe , alichokifanya ded siyo kibaya cha kusema mke ashindwe kumsamehe ni madhaifu tu ya ubinaadamu
 
Sioni kosa kuuuuubwa sana la DED. Hawa watoto wenyewe hii michezo wanaipenda, na hata sheria ya ndoa inaruhusu kwa umri wake.

Kinachoonekana hapa kikubwa ni changamoto ndani ya ndoa ya DED, so mke wake ameona hii ni kama escape plan ya kuachana na mwamba achukue 50% yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…