Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Mume anaenda jela miaka 30
Bila shaka kuna tatizo katika hiyo ndoa
 
Katika hiyo hali (mume kutembea na house girl), mwanamke mwenye kujiamiani, aliyechoka na tabia mbovu za mumewe ulitaka afanyeje?
Ulitaka aue mume?
Ulitaka aue housegirl?
Ulitaka ajiue?

Kwa hii scenario, sijaona tatizo lolote la kimsingi la kuilaumu taasisi ya ndoa.
 
Umeibua Hoja ambazo zinaibua BENEFIT OF DOUBT.

Watu wa 'Kataa Ndoa ' hapa watakuwa wamejizolea Points zingine za bure kabisa.
 
Huyo mke ana connection gani Serikalini hadi amkamatishe ugoni mumewe na kisha kuipindua meza ya tuhuma za ugoni na kuwa ni ya kubaka, kuwabana kabisa hadi mheshimiwa ashindwe kuruka kihunzi?

Halafu silipendi swali la wengi wanavyouliza eti: ...'kwanini mheshimiwa alishindwa kuruka na wa hadhi yake?..

Ebo! Wahadhi yake si ni mkewe?

Mwanaume yeyote hupenda kuruka na mwanamke ambaye ni mnyonge kwake.

Taarifa ya Serikali iliyotolewa kuhusu sakata hiyo uliisikia, msichana kaongezewa umri kawa na 18?

Hayo ni mazingira ya 'wokovu' yanatengenezwa, bado kwa daktari.

Mke asipoangalia aweza kubaki njia panda.
 
Nilitaka mwanamke asivae sucide bomb la kujilipua na kujiangamiza mwenyewe.

Kuna njia nyingi za wanandoa kukomeshana lakini kitumbua kisipaliwe na mchanga, kikaendelea kuliwa hata baada ya sakata.
 
Amenyooshwa vizuri na huyo mwanamke maana alishupaza shingo
kataa ndoa
Kataa Ndoa
Kataa ndoa
 
Na hiki wengi hawakijui. Umalaya ni mbaya ila jitahidi utafute vitu classic na sio kuwinda madada wa kazi.
Mtu anayetembea na mdada wa kazi yuko too low. Hivi inakuwaje? Namdharau sana mwanaume anayetembea na binti wa kazi. Yaani uchafu wake anaufanyia humohumo ndani loh. Na yeye ilikuwaje akaajiri mtoto? DED mzima loh.
 
huenda huyo DED kasingiziwa na mke wake.
huenda ndoa yao haiukuwa na maelewano.

nakumbuka sakata la Mbasha alifunguliwa kesi ya kubaka lkn hatimaye .......kila kitu kolijulikana.
Kuna picha imeiona mhhh. Kama ni yeye hajasingiziwa.
 
Nina madogo wawili wazuri kabisa wamenyooka, watoto wa afu mbili, ningependa kuwa shemeji yako!

Naamini with this mindset ukoo utakuwa salama 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…