Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu hili swala lipo ndani ya faragha ndio maana sheria ya faragha haimfuati mtu chumbani inaishia nje ya mlango ndivyo tunavyowatetea hawa wahanga. Sisi tunategemea kupokea malalalmiko kuwa mtu kabakwa, kalawitiwa, kanajisiwa pasipo idhini yake hapo ndipo tutaweza kumsaidia kwa harakaQuote vifungu vya sheria vinavyo tetea huu upuuzi hapa ukishindwa ww ni mmoja wao si ajabu ndo Afande Rama kabisa ulie achiwa majuzi
Itakuwa kesi endapo mmoja analalamika kufanyiwa hivyo bila idhini yake. Hawa wenzetu wanatuletea malalamiko ya watu wanaofanya starehe zo kwa makubaliano yao wenyewe hapa ndipo panaleta mkanganyikoWatu hawaelewi nini maana ya haki za binadamu.
Watu wanasingizia kuwa ni maadili, lakini kama wamependa wenyewe kwanini wewe uwaingilie!?
Haya mambo yanapaswa kuwa personal,
Serikali walitafuta namna ya kupoza akili za watanzania tu, ila hakukuwa na kesi hapo.
Watu hawalielewi hili,Itakuwa kesi endapo mmoja analalamika kufanyiwa hivyo bila idhini yake. Hawa wenzetu wanatuletea malalamiko ya watu wanaofanya starehe zo kwa makubaliano yao wenyewe hapa ndipo panaleta mkanganyiko
Ni vizuri kesi ikaletwa na mtu aliyefanyiwa bila idhini yake mwenyewe. Kuleta kesi za watu waliokubaliana angali kati yao hakuna hata mmoja aliyelalamika haitakuwa na maana. Mwijaku alienda ustawi wa jamii kulalamika Harmonize ana najisi familia ya Kajala huku hakuna aliyelalamika kati ya Harmonize na Kajala mwisho wa siku alipuuzwaDuh we jamaa hufikiliag mbali kama ni starehe yake kwaivyo hata watoto wa shule wakishka mimba ni sawa kwasababu ni starehe zao? Au madawa ya kulevya si starehe zao. Mapenzi ya jinsia moja yana madhara kwa wanaume ko kinachokupeleka mahakamani ni madhara sio ulichofanya yan ni sawa na kutaka kujiua.ulitaka mwenyew lakin lazma uadhibiwe.
Wewe hauoni kuwa hivyo vitisho vinawekwa Ili kukusaidia wewe mwanao asiwe shogaSi sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae starehe hizo bali ni makubaliano yao wenyewe.
Itakuwa sahihi kumpeleka mtu huyu mahakamani endapo anafanya vitendo hivi kwa kurubuni, kulazimisha, kushinikiza, kubaka wenzie washiriki nae pasipo maridhiano yao. Endapo watu anaoshiriki nao wamekubaliana naye basi haina haja ya kuwapeleka mahakamani kwasababu ni swala la maridhiano.
Mahakama inapokea haraka na kufanyia kazi malalamiko yote yaliyowasilishwa na mhusika mwenyewe akilalama jinsi alivyofanyiwa ubaya pengine kabakwa, karubuniwa, kalawitiwa, kanajisiwa nakadhalika. Endapo mtu anakwenda mahakamani kuishtaki watu wanaofanya starehe zao binafsi angali wao wanafurahia basi ni sawa na kupoteza muda kwasababu maswala ya watu binafsi yanamuhusu nini kwenye maisha yake.
Kama mtu ni mcha Mungu basi aishi kwenye maisha yake aliyoyachagua maswala ya kuwafuatilia walevi au wasiomcha Mungu sio kazi yake ni sawa na kuingilia maisha ya watu ni vyema kila mtu akaishi maisha yake aliyochagua pasipo kukerana kwasababu kila mtu kazaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe.
unaweza kuliamini jambo kwasababu unalijua kwa kina au kuliamini jambo kwasababu hulijui undani wake. we unadhan kuna sababu ya dereva pikipiki asievaa element kukamatwa wakat bado hajapata hajari na iyo ni starehe yake na hajalalamika yeye au mtembea kwa miguu ?Ni vizuri kesi ikaletwa na mtu aliyefanyiwa bila idhini yake mwenyewe. Kuleta kesi za watu waliokubaliana angali kati yao hakuna hata mmoja aliyelalamika haitakuwa na maana. Mwijaku alienda ustawi wa jamii kulalamika Harmonize ana najisi familia ya Kajala huku hakuna aliyelalamika kati ya Harmonize na Kajala mwisho wa siku alipuuzwa
Tatizo harufu ya KINYESI .Sasa watu wameamua kugaragazana wenyewe sisi tunahangaika nao wa nini
Unataka kuniambia kama serikali isingepiga marufuku uvutaji wa bangi wewe ungeweza kuwazuia watoto wako wasivute bangi maana bangi ingekuwa inavutwa mitaani kote sehemu ambazo watoto wako wanachezaMtoto wako mfundishe mapema madhara yake akae akijua. Ukimuacha basi atajifundisha mwenyewe kwa kujaribu
Ni sawa kisheria ,ila kibinadamu ni sawa pia ila Kwann Afande wa Zenji kaachiwa ni kwasababu sio sawa kifaragha na ni sawa kwa mtazamo tabia hiyo imejengeka kwenye jamii husikaSi sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae starehe hizo bali ni makubaliano yao wenyewe.
Itakuwa sahihi kumpeleka mtu huyu mahakamani endapo anafanya vitendo hivi kwa kurubuni, kulazimisha, kushinikiza, kubaka wenzie washiriki nae pasipo maridhiano yao. Endapo watu anaoshiriki nao wamekubaliana naye basi haina haja ya kuwapeleka mahakamani kwasababu ni swala la maridhiano.
Mahakama inapokea haraka na kufanyia kazi malalamiko yote yaliyowasilishwa na mhusika mwenyewe akilalama jinsi alivyofanyiwa ubaya pengine kabakwa, karubuniwa, kalawitiwa, kanajisiwa nakadhalika. Endapo mtu anakwenda mahakamani kuishtaki watu wanaofanya starehe zao binafsi angali wao wanafurahia basi ni sawa na kupoteza muda kwasababu maswala ya watu binafsi yanamuhusu nini kwenye maisha yake.
Kama mtu ni mcha Mungu basi aishi kwenye maisha yake aliyoyachagua maswala ya kuwafuatilia walevi au wasiomcha Mungu sio kazi yake ni sawa na kuingilia maisha ya watu ni vyema kila mtu akaishi maisha yake aliyochagua pasipo kukerana kwasababu kila mtu kazaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe.
Wanafunzi wanaobeba mimba nao wapelekwe mahakamani.Duh we jamaa hufikiliag mbali kama ni starehe yake kwaivyo hata watoto wa shule wakishka mimba ni sawa kwasababu ni starehe zao? Au madawa ya kulevya si starehe zao. Mapenzi ya jinsia moja yana madhara kwa wanaume ko kinachokupeleka mahakamani ni madhara sio ulichofanya yan ni sawa na kutaka kujiua.ulitaka mwenyew lakin lazma uadhibiwe.
pumbavu,na wewe ni walewaleSi sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae starehe hizo bali ni makubaliano yao wenyewe.