Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Hawezi kushinda kesi!! Ni kosa la jinai mtu kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja hapa Tanzania. Kitakachotakiwa na mahakama ni ushahidi tu kuwa mtu alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kama vile kukutwa na shahawa kwenye mk*ndu, au kukutwa marinda yalishapotea siku nyingi. Uchunguzi hufanywa na madaktari!!

Hatuwezi kuruhusu starehe yako ituletee laana kwenye nchi yetu kama ilivyokuwa kwa sodoma na gomora!!
Nikosa la jinai lakini tujiulize je vyumba vya wananchi wetu huwa askari tunalala humu kuwachunga? Tunaposema nikosa maana yake kuwa hatukubali jambo hili kufanyika hadharani lakini sio kuwa tunafanikiwa kuwazuia hawa watu kwasababu hatulali ndani mwao
 
Mkuu haupo sahihi,kwasababu hapo lazima kuangalia upeo/ukomavu wa akili wa binti,huwezi sema ati kwasababu wamekubaliana basi mwanaume asishitakiwe,hiyo si sawa.Umri wa binti una matter sana,ndio maana akishafika chuo,huwa hakuna nongwa kabisa kwa binti kupata ujauzito au hata kuolewa akiwa masomoni.Ishu nyingine ni Maadili,km jambo si la Kimaadili napo lazima Serikali iingilie kati hata km wawili wamekubaliana.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Nashauri Mahakama zote kabla ya kutatua matatizo kama haya waanze na swala kwa walengwa kuwa je mlikubaliana na mkafanya kwa hiari yenu? Majibu yao ndiyo yawaongoze katika kutatua haya maswala badala ya kuwahukumu kwa lazima kumbe wao wamekubaliana
 
Upinde mmoja umepta like mbili hapa inaamana mko machoko wa3[emoji706][emoji706][emoji706]
Wewe ndugu yangu kinachonishangaza ni wewe kuniingiza kwenye hili swala badala ya kuchangia mada.
 
Hawezi kushinda kesi!! Ni kosa la jinai mtu kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja hapa Tanzania. Kitakachotakiwa na mahakama ni ushahidi tu kuwa mtu alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kama vile kukutwa na shahawa kwenye mk*ndu, au kukutwa marinda yalishapotea siku nyingi. Uchunguzi hufanywa na madaktari!!

Hatuwezi kuruhusu starehe yako ituletee laana kwenye nchi yetu kama ilivyokuwa kwa sodoma na gomora!!
Wanashinda kwa kusema kuwa wanafanya kwa hiyari yao wenyewe hawamlazimishi mtu
 
Mwanasheria konyo embu acha kuzalilisha na kutetea ujinga.
Sheria ya ndoa inakataza same sex marriage (Law of Marriage Act) , again Penal code inakataza mapenzi ya jinsia Moja na ni Sheria zetu hizo asa wewe nakushangaa mwanasheria wa wapi au labda wa mashoga
Sema kuwa inakataza hadharani na sio inafanikiwa kuzuia hawa watu kwasababu serikali haifwati watu vyumbani. Na ndani ya chumba ndiko watu wanakochapa hii kandanda
 
Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae starehe hizo bali ni makubaliano yao wenyewe.

Itakuwa sahihi kumpeleka mtu huyu mahakamani endapo anafanya vitendo hivi kwa kurubuni, kulazimisha, kushinikiza, kubaka wenzie washiriki nae pasipo maridhiano yao. Endapo watu anaoshiriki nao wamekubaliana naye basi haina haja ya kuwapeleka mahakamani kwasababu ni swala la maridhiano.

Mahakama inapokea haraka na kufanyia kazi malalamiko yote yaliyowasilishwa na mhusika mwenyewe akilalama jinsi alivyofanyiwa ubaya pengine kabakwa, karubuniwa, kalawitiwa, kanajisiwa nakadhalika. Endapo mtu anakwenda mahakamani kuishtaki watu wanaofanya starehe zao binafsi angali wao wanafurahia basi ni sawa na kupoteza muda kwasababu maswala ya watu binafsi yanamuhusu nini kwenye maisha yake.

Kama mtu ni mcha Mungu basi aishi kwenye maisha yake aliyoyachagua maswala ya kuwafuatilia walevi au wasiomcha Mungu sio kazi yake ni sawa na kuingilia maisha ya watu ni vyema kila mtu akaishi maisha yake aliyochagua pasipo kukerana kwasababu kila mtu kazaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe.
Nakuunga mkono ndugu yangu si Sawa kumpeleka mahakaman
Solution pekee ni kumtia shaba tu au kumtia kisu afie mbele tunapoteza muda kuwapeleka mahakaman
 
Mbona mnakuwa wapumbavu sana nyinyi vijana wa siku hizi? Afu ndo mnataka katiba mpya. Iliyopo tu hamuielewi. Kwa mujibu wa sheria za sasa ni marufuku kufanya mapenzi kinyume na maumbile. In short, mnduku wako ni nyara ya serikali. Ni takwa la kisheria. Ukibanduana isivyo utashtakiwa. Ngumbaru mkubwa wewe
 
Hakuna Cha Mwanasheria
Wewe ni Choks...
Mmekua na uhuru wa kuongea sana
Basi tu
Ndugu kabla ya kumuita mtu choko kwanza nyote wawili mnapaswa kuonesha watu valvu zenu ili wajirizishe nani kaliwa na ambaye hajaliwa
 
Sasa leo nime elewa kwa nn bwana mdogo ulishindwa kukaa na mke ndani kumbe friji haligandishi aisee

Pole sana kwa kuumaliza mwendo ila tunapo elekea kutakua na kizazi cha ajabu sana uko mbele nyie watu wa upinde mtasababisha Jua lishuke na kutuchoma kwa kumkasirisha Sr God
Sio kila mtu anayeelezea jambo fulani basi maana yake ni kwamba analifanya au analiunga mkono lifanywe. Wakati mwingine inabidi tuzichambue hoja kwa mantiki zake. Kwani wakili anayesimama mahakamani kwa niaba ya mwizi, naye ni mwizi? La hasha, ndio maana mawakili wakaitwa kuwa ni maafisa wa mahakama, maana wanaisaidia mahakama kupata tafsiri sahihi, bila kujali wapo upande wa anayeshtaki au utetezi
 
Nakuunga mkono ndugu yangu si Sawa kumpeleka mahakaman
Solution pekee ni kumtia shaba tu au kumtia kisu afie mbele tunapoteza muda kuwapeleka mahakaman
Kule mahakamani ni kupoteza muda na ukizingatia maswala kama haya ni ya aibu
 
Sio kila mtu anayeelezea jambo fulani basi maana yake ni kwamba analifanya au analiunga mkono lifanywe. Wakati mwingine inabidi tuzichambue hoja kwa mantiki zake. Kwani wakili anayesimama mahakamani kwa niaba ya mwizi, naye ni mwizi? La hasha, ndio maana mawakili wakaitwa kuwa ni maafisa wa mahakama, maana wanaisaidia mahakama kupata tafsiri sahihi, bila kujali wapo upande wa anayeshtaki au utetezi
Waeleweshe ndugu zetu hawa kwasababu wana tatizo la kutafsiri hii ndiyo changamoto ya Watanzania wengi, huwa wanabadilisha jambo kuwa baya au kumuwekea mtu maneno mdomoni angali hakuyasema
 
Ndugu kabla ya kumuita mtu choko kwanza nyote wawili mnapaswa kuonesha watu valvu zenu ili wajirizishe nani kaliwa na ambaye hajaliwa
Sipaswi kubishana na shoga hata kama ni sekunde Moja.
 
Sipaswi kubishana na shoga hata kama ni sekunde Moja.
Tuthibitishie kuwa wewe sio shoga kwa kutuonesha valvu yako kama ipo salama. Kwakufanya hivyo basi watu watakuamini kinyume na hapo utakosa ushawishi
 
SAS na wew unajidai mlokole

Huu Uzi unashida gani ,we ndio mwenye shida HV vitu vipo enzi na enzi huko sodoma na gomora vilikuepo

Hapa tunajadili tuone sheria zetu ziko VIP kwenye ku deal na vitu Kama HV

In short haviepukiki
UNNATURAL OFFENCES, CONTRARY TO SECTION 154 OF TANZANIA PENAL CODE, CAP 16 R. E 2022.
 
Back
Top Bottom