Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mkuu haupo sahihi,kwasababu hapo lazima kuangalia upeo/ukomavu wa akili wa binti,huwezi sema ati kwasababu wamekubaliana basi mwanaume asishitakiwe,hiyo si sawa.Umri wa binti una matter sana,ndio maana akishafika chuo,huwa hakuna nongwa kabisa kwa binti kupata ujauzito au hata kuolewa akiwa masomoni.Ishu nyingine ni Maadili,km jambo si la Kimaadili napo lazima Serikali iingilie kati hata km wawili wamekubaliana.Nivizuri kuwa kesi kama hizo bint akaanzishe mwenyewe malalamiko mahakani endapo aliingiliwa bila ridhaa yake kwasababu inawezekana ameupenda mchezo yeye na kidume wake kisha ninyi mkawaingilia hapo mnawakosea na kuwanyima haki yao ya kufurahia mapenzi
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app