Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Mtu kaamua mwenyewe kushikishwa ukuta tena kwa ridhaa yake mwenyewe, maana yake ni kuwa watu wamuinamishe kama anavotaka yeye sio kumtesa. Mtu anataka kuliwa basi aliwe
 
Unataka kuniambia kama serikali isingepiga marufuku uvutaji wa bangi wewe ungeweza kuwazuia watoto wako wasivute bangi maana bangi ingekuwa inavutwa mitaani kote sehemu ambazo watoto wako wanacheza

Au na wewe shoga?
Mimi ni mwanasheria natetea pande zote. Ndio maana Mizani ndiyo logo ya sheria
 
Wanafunzi wanaobeba mimba nao wapelekwe mahakamani.

Mimi nadhani kuwapeleka mahakamani mashoga ni kupoteza muda wakati mnajua kabisa atashinda kesi.
Serikali ichague moja either wahukumiwe kifungo au waachane nao. Waache unafiki...
ishu ni kwamba kuiendesha dunia hakutaki demokrasia. muathirika wa mapenzi ya jinsia moja ni sawa na mtu mwenye njaa ya damu.kwa upende wake anaona yupo sahihi kwasababu hana jinsi zaidi ya kutaka damu ili aokoe maisha lakini serikali haitakiw kumuacha mtu huyu kwasababu ni tishio kwa watu bila kujali atakunywa damu ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napata taabu kukuelewa,ukute ndio walewale wazee wa Upinde.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Watu wamekubaliana wenyewe ninyi mnahangaika nao mahakamani, ndio mwisho wa kesi wanashinda kama askari wa zenji
Hata wanaowapa mimba watoto wa shule huwa ni Makubaliano pia lkn unakula mvua thelathini.Si kila makubaliano baina ya watu wawili huwa yanakubaliwa,makubaliano mengine lazima yazuiliwe kwa ukali.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Hata wanaowapa mimba watoto wa shule huwa ni Makubaliano pia lkn unakula mvua thelathini.Si kila makubaliano baina ya watu wawili huwa yanakubaliwa,makubaliano mengine lazima yazuiliwe kwa ukali.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Nivizuri kuwa kesi kama hizo bint akaanzishe mwenyewe malalamiko mahakani endapo aliingiliwa bila ridhaa yake kwasababu inawezekana ameupenda mchezo yeye na kidume wake kisha ninyi mkawaingilia hapo mnawakosea na kuwanyima haki yao ya kufurahia mapenzi
 
Serikali imemuachia huru, unalizungumziaje hilo? Na kuna mashoga wengi wapo wazi wanajionyesha, serikali haiwaoni?

Sina tatizo na sheria ya serikali. Wangeifuata ingekuwa sawa tatito hawana ubavu huo ni wanafiki.
Ushoga kwa Tanzania unaruhusiwa..maana hakuna aliyechukuliwa hatua hadi sasa.
 
mataifa yote makubwa yana sera yao inasema MUNGU HANA DEMOKRASIA LAKINI ANAITANGAZA DEMOKRASIA KUIBALANCE AMANI YA DUNIA maana yake wao mataifa makubwa hawatumii demokrasia lakini wanaitangaza demokrasia.

lakini nchi dhaifu kama yetu inadhani dunia inaendeshwa kwa demokrasia ndio maana inahisi kufanya maamuzi magumu kwa mashoga ni kukosesha haki za binadamu lakini uharisia hata mungu mwenyewe katika biblia na quran anasema kwamba kuna watu amewapa mwanga na wengine giza pia ameandika kuwa yeye mungu ndie anaebadili nyoyo za watu na kuwaongoa maana yake hakuna haki apo ni maamuzi tu ya mungu yupi awe wa mfano kwa wema na yupi wa mfano kwa wabaya na amezaliwa kama sadaka kwa wengine.

jibu la swali lako ni kwamba serikali yako ni dhaifu na hawana elimu ya kujua wenzao wanatawalaje.

marekani wanaruhusu ushoga lakini haki wanazozikosa kupitia huo ushoga wao wenyew wanakoma ndio maana mashoga wanaandamana kila cku kukosa haki zao maana yake marekani hairuhusu ushoga kwa nchi yao ila wanatumia akili kubwa sana kuzuia na hata video za ngono marekani wako makini sana kwa watumiaji wa internet. kutazama video mpaka u login kwenye website ya ngono na uingize namba za kitambulisho lakn africa hakuna masharti kutazama ngono mtandaoni.
 
Aliyesema ni mungu ila ndugu yangu tambua kuwa kuna Shetani pia mwenye wafuasi wengi ni Shetani
 
siwezi kuingiza kifaa changu kitakatifu cha kuniletea watoto duniani sehemu ambayo kinapita kinyesi!!! abadan!!! niLAANA kubwa sana!!!,,,,,,
Kweli umenifurahisha kumbe wewe unatumia kwaajili ya kupata watoto, wenzako wanatumia kuchapa😁
 


Wewe unafanya kwa hiari au unafanywa kwa hiari??
 
MI mwenyewe akiuleta Ninachapa tu

Sasa si ametaka mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…