REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Huenda akafanya hivyo lakini hana uhalali huo kikatiba kwa hali ilivyo sasa. Na litakuwa ni kosa kubwa kisiasa na kiuchuni kuipeleka nchi kati hali mbaya hivyo. Ni sawa na kujiwekea mwenyewe vikwazo vya kiuchumi.Kwa maneno mengine, anatangaza hali ya hatari?
So watanzania tusiende kwenye shughuli zetu za uzalishaji mali?
Tanzania ya viwanda inafikiwa mapema iwezekanavyo.
UKUTA haitafanikiwa sababu WATZ wameisha mshtukia MboweNatabiri UKUTA kuahirishwa hadi hapo itakapotangazwa tena ikiwa ni Ukuta part 2
Hahahaha.Ukute!Kama hiviView attachment 385340
Siasa uchwara za maji taka kamwe hazitaruhusiwa milele. Mikutano ya siasa safi inayofuata kanuni, taratibu na sheria za nchi hazijawahi kuzuiwa. Wewe ulishaona wapi siasa za kumwita rais aliyechaguliwa na majority, hao minority walioshindwa wanamuita uchwara na kuandamana nchi nzima wakimwita hivyo. Kama si upunguani ni nini? Lazima cha mtema kuni wakionje angalao kidogo ili waone kautamu kake.
Tarehe 1 Sep wanaotaka kuonja hako kautamu kake jitokezeni tu wala haina haja ya kuja kubwabwaya huku Jf sasa hivi. Tarehe 2 tunawasubiri mje mtusimulie hako ka utamu ka mtema kuni.
Ukuta for life....
Sina shaka kabisa km hujui matumizi ya machafuko. Km unajua, ni vyema kukaa kimyaKwa Akili yako kidogo machafuko yakitokea wewe utabaki kuwa salama !?.Unafikiri haujulikani !?..
Habari nilizopata kutoka jikoni zinasema kuwa siku ya August 31 mwaka huu, siku moja kabla ya UKUTA rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza mambo mazito kwa watanzania.
Inasemekana kuwa rais anatarajiwa kuliweka jeshi la polisi katika tahadhari kubwa huku kukiwa na mazuio kadhaa yatakayo ambatana na tahadhari hiyo kwa jeshi la polisi.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kunatarajiwa kuwa na operesheni nzito ya jeshi la polisi na huenda kukatumika nguvu kubwa zaidi katika kukabiliana na Chadema nchi nzima.
Aidha nimedokezwa kuwa ofisi zote za Chadema nchini zinatarajiwa kuzingirwa na jeshi la polisi siku hiyo ya september moja.
#UKUTA for Democracy!
....Nyie akina mama wanaume hatuwahitaji.Kaa nyumbani usubiri uone wanaume wanairudisha Demokrasia.