Si wote ndani ya Serikali wanafurahia kunangwa Hayati

Si wote ndani ya Serikali wanafurahia kunangwa Hayati

Nikuulize wewe umekuja lini kwenye nchi yetu ?
Tatizo huelewi hata swali linakusudia nini. Kwa asiye mgeni hawezi kuuliza mauaji na utekaji wa watu uliofanywa na utawala wa Magufuli.
 
Aoni aibu kufanya ivyo tena kwa sababu tumeshampa sababu ya kutudharau, so kila atapopata nafasi atananga tu ndio metric measure pekee anayoweza tumia aonekane bora, vinginevyo hiyo nafasi inampwaya na awezi jilinganisha na Magufuli katika utendaji kazi wala results.

Bi Tozo is not in touch na maisha ya watu maskini and she has learned kupitia kwa baraka za Kikwete (weka watu wake atapata amani), kujipendekeza kwa watu kama kina Mwigulu, Nape, Makamba, Makalla, Jokate and the likes (hawa watu kulinda nafasi zao watalamba ata miguu yake) na akipita mitandaoni akisoma comments za kutukanwa kwa mtangulizi wake (bila ya kuelewa ni kundi la watatu wachache sana) hayo yanampa nguvu kudhani watanzania wote tunafurahia kejeli zake.

It’s a Skinners ‘operate conditioning’ scenario ambayo kajifunza kwenye dunia yake what she thinks is rewarding behaviour to her.
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!

Kwani unadhani hata sisi tulikuwa tunapenda magufuli alivyo kuwa anakashifu wastaafu walio muweka madarakan ,tulikiwa hatupend kabisa
 
Hayati alikuwa mtu wa hovyo sana, hovyo kabisa
 
2017 -2019 tulikomesha wezi wote na wapiga dili serikalini
IMG-20220415-WA0469.jpg
 
Hata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Kuwa Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata kwa 20%
Huyu tutampopoa mpaka mwisho,alizoea kusifiwasifiwa na kuogopwa,amekufa Ben umemuona nani anamsema vibaya humu?
Kuna kiongozi huko nchini "Navooo" kamteua jamaa mmoja akahudumu nchini China ili yeye huku nyuma apate nafasi yakumsaidia ua lake kulipalilia na kulinyweshea maji.
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Si waachie ngazi waende kwenye kaburi la kipenzi chao wakahiji!
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Kwa hiyo ulitakaje? Tuheshimu na kufanya nae kazi aliyopo au aliyekufa?. Rais hapangiwi cha kusema wala kutenda kwa kuwa yeye ndiye alpha na Omega kwa sasa. Tabia hii ya kuzungumzia watangulizi wake aliyeasisi unamjua?
 
Awamu za utawala wa nchi zinakuja na kupita. Ukiona gwaride rasmi la JWTZ likicheza kwata yenye kuonyesha alama ya "OMEGA" basi tambua hapo ni mwisho wa enzi wa yule aliyekuwa madarakani.

Ilifanyika kwa JKN, AHM, BWM, JMK na pia kwa JPM. Wote tawala zao zimebakia kuwa ni historia. Sasa ni awamu ya SSH, ni yeye ndiye amepokea kikatiba hatamu za uongozi wa nchi hii. Ana maono, dhima na mikakati yake ya kiuongozi na kiutawala.

Si lazima mtindo wa uongozi wake ufanane na wa yule aliyemtangulia. Kwa kuwa pengine fikra na vipaumbele vyake vipo tofauti kabisa. Apewe muda wa kutekeleza yaliyomo ndani ya ilani ya chama chake kwa namna ambayo anashauriwa na vile ambavyo anaona inafaa.
 
Hata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Kuwa Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata kwa 20%
Jambazi yule,

Fikiria yeye na jambazi mwenzie Mfugale wa Tanroads walinunua mtambo wa kiwanda cha sukari dola mil.50, tangu lini Tanroads wanazalisha sukari?

Nawashukuru wote waliotuondolea jambazi lile
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Shauri yao. Wakanywe sumu wafe. Huyo boss wao yeye alikuwa anatukana watu kabisa.." Kuna viongozi wastaafu wanawashwawashwa". Kikwete ni kaka yake, halaf ni mwanaume kamili, unavyosema anawashwa washwa, anawashwa washwa wapi? Kama sio matusi
 
Back
Top Bottom