Yaani huko insta vituko kila msanii pole Lulu, kwa hili nimemsifu Idrissa hajataka kuwa mnafki..najua kawakilisha mawazo ya wasanii wengi waliotamani kuandika ila sababu ya unafki wamekaa kimya
Wema acha Mungu ampige Kofi maana alivyoita mbwa wanawe tena kwa nyodo zoteeNi kujitafutia laana tu,wale mashoga hawana faida. Sijui mbwa aliokua anawafuga kwa mbwembwe bado anao au kauzadah wema bana akili ndogo,bahati kuwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shosti umemuona doggie masta22 kamchamba hamisa eti mnaafiki na kasema tukimzogoa atafungua file
[emoji1] [emoji1] wakat sasa kafulia hakuna anaemjua hana kick naona anatala kick ya kuuza nguo zake kashaona zinachundaa
Yaani nimebaki nacheka tu, atleast Muna na lokole hawa nawaelewa walikua nae bega kwa bega.Pole zenyewe za kuogopa kuchambwa. Mahakaman hawakwenda hata siku moja.
Kama Kanumba angekuwepo leo mahakamani ingependeza zaidi!Kwa swala la lulu kwa sasa linahitaji kuweka tofauti zao pemben na kuombena mema.
Jela mpasikie tuu. Sio pazuri kabisa
Hamisa mnafki tu kama wanafki wengine,hapo kaandika huku minjino 32 yote nje
Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Yaani nimebaki nacheka tu, atleast Muna na lokole hawa nawaelewa walikua nae bega kwa bega.
Team zari hawayumbishwii ht kidogoo kwa hapo kafulia tuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] anapaswa apambane na hali zakeHuyo doggy anachekesha alipewa ushauri na dongo juu na milly akapanic.
Sasa akifungua faili la hamisa anadhan atapata support ya team zari ambao wapo upande wa lulu hapo atakua kachemsha maana hakuna aliyesahau matusi ya doggy ya udhalilishaji mno.
Mange mwenyewe anataman ashangilie kwa post maana anamchukia lulu kinyama,katoto kadogo kanapendeza kumzidi yeye aliye ulaya
Mungu amsimamie aendelew na moyo huo huoMuna ni rafiki wa kweli wa lulu. Tangu anapata huo msala alikua nae karibu na msosi alikua anampelekea gerezan
Yaani muna na dr. Cheni tu...basssiMuna ni rafiki wa kweli wa lulu. Tangu anapata huo msala alikua nae karibu na msosi alikua anampelekea gerezan
Muna anampenda sana lulu ila lulu ndo hataki ushoga na anamkwepa haswaa!Yaani nimebaki nacheka tu, atleast Muna na lokole hawa nawaelewa walikua nae bega kwa bega.
Wema acha Mungu ampige Kofi maana alivyoita mbwa wanawe tena kwa nyodo zotee
Sisahau mimi
Best nakuona, upokonywe bwana...vijembe upigwe mitandaoni halafu baadae usikie aliesababisha kapata tatizo kwa asili yetu wanawake lazima utatoa meno 32 nje...hamissa hapo hajamaniisha
Yaani muna na dr. Cheni tu...basssi
Nakumbuka sana tu akapanga kwa milioni270Enzi za SK wema alikua na jeuri sana anapiga watu club huku akijitapa maneno ya unajua mimi ni nani nchi hii. Mchokoze kidogo anakubandika kwa team yake full kuoga matusi. Wale mbwa hadi nguo na pafyum wakanunuliwa