Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Pole zenyewe za kuogopa kuchambwa. Mahakaman hawakwenda hata siku moja.
Yaani huko insta vituko kila msanii pole Lulu, kwa hili nimemsifu Idrissa hajataka kuwa mnafki..najua kawakilisha mawazo ya wasanii wengi waliotamani kuandika ila sababu ya unafki wamekaa kimya