Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Na akapumzike huko jela asituletee shida mtaani wapo watoto wa watu wengi kwa kesi za uongo wamefungwa kabisa maisha sembuse yeye tena kaokolewa na hiyo 2 years
 
Wa bongo mshaanza.
Hamkosi Mchele[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Huyo doggy anachekesha alipewa ushauri na dongo juu na milly akapanic.

Sasa akifungua faili la hamisa anadhan atapata support ya team zari ambao wapo upande wa lulu hapo atakua kachemsha maana hakuna aliyesahau matusi ya doggy ya udhalilishaji mno.
Mange mwenyewe anataman ashangilie kwa post maana anamchukia lulu kinyama,katoto kadogo kanapendeza kumzidi yeye aliye ulaya
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shosti umemuona doggie masta22 kamchamba hamisa eti mnaafiki na kasema tukimzogoa atafungua file

[emoji1] [emoji1] wakat sasa kafulia hakuna anaemjua hana kick naona anatala kick ya kuuza nguo zake kashaona zinachundaa
 
8ef72e82b98f7d6ad43e01243d44379f.jpg

Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Hamisa mnafki tu kama wanafki wengine,hapo kaandika huku minjino 32 yote nje

Cc Beef Lasagna
 
Huyo doggy anachekesha alipewa ushauri na dongo juu na milly akapanic.

Sasa akifungua faili la hamisa anadhan atapata support ya team zari ambao wapo upande wa lulu hapo atakua kachemsha maana hakuna aliyesahau matusi ya doggy ya udhalilishaji mno.
Mange mwenyewe anataman ashangilie kwa post maana anamchukia lulu kinyama,katoto kadogo kanapendeza kumzidi yeye aliye ulaya
Team zari hawayumbishwii ht kidogoo kwa hapo kafulia tuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] anapaswa apambane na hali zake

Team wema ndo ndo wapuuuzi hawana Dira
Asipojiangalia atachunda na nguo zake
 
Enzi za SK wema alikua na jeuri sana anapiga watu club huku akijitapa maneno ya unajua mimi ni nani nchi hii. Mchokoze kidogo anakubandika kwa team yake full kuoga matusi. Wale mbwa hadi nguo na pafyum wakanunuliwa
Wema acha Mungu ampige Kofi maana alivyoita mbwa wanawe tena kwa nyodo zotee
Sisahau mimi
 
Enzi za SK wema alikua na jeuri sana anapiga watu club huku akijitapa maneno ya unajua mimi ni nani nchi hii. Mchokoze kidogo anakubandika kwa team yake full kuoga matusi. Wale mbwa hadi nguo na pafyum wakanunuliwa
Nakumbuka sana tu akapanga kwa milioni270
Ama kweli aliye juu mngoje chini kaaaah!
Leo wema hata gari hana
 
Back
Top Bottom