tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Mvulana ndio hulialia kama wewe,ungekua mwanaume maisha yanaendelea kama kawaNilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamani?
Ingiza kidole puani alafu nusaNilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamani?
[emoji3516]Kwa misimamo huwezi kunishinda ila kwake nimekua dhaifu. Tusipende mazima mazima
Naomba nawe siku moja upigwe chini uumie hivi hivi (ila tu usifikie hatua ya kuwaza kujioff) [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole.
hahahaahahahaahahahahahahaa...Wahuni 13:47 Mwanaume aliliaye mwanamke sababu ya mapenzi na kuilaani siku ya kuzaliwa kwake, Huyo hana Akili kabisa, mwisho wake ni mbaya kama ulivo mwisho wa Swala katikati ya Simba wengi.
Umomi hakujipiga kamba. Yuko hai sema tu alileta drama za kitoto alipoanza kujianzishia uzi kuwa kajipiga kamba kwa kutumia ID nyingine....Hata Umomi alianza hivi hivi mwisho wake akajipiga kamba.Mkuu tuliza akili ufikirie kwamba bila huyo kinchenchede huwez kuishi.
Hata wewe anko na ungangari wako unaendeshwa na haya mambo?yaaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipitia sesheni 4 za hivi utakuja kuzoea tu. Hasa hiki kizazi chenu hiki mh! Mnafikiri mapenzi is just a game. Kazi mnayo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Nimekumbuka kitu, hizi stress hizi acheni tu... Hiyo siku niku full stressed afu nikapika tambi wee kwani zilipita kooni!! Yan ilikuwa nikila nahisi kama zinaenda kuninyonga [emoji23][emoji23][emoji23]
Ikabidi niagize chakula pendwa ' chips kuku' waii mbona nilikula huku nalia cha ajabu nilivyoshiba nikawa sawa kimtindo na nikalala usingizi mzuri tu
You are right. Niliiona mahali. Uhuru [emoji91][emoji91][emoji91][emoji23] [emoji23]
Hiyo itakuwa dhambi, nikiwa mkubwa kama nyumba si shughuli sintoiweza.??
I've read between the lines about kuwezana thing, I guess umeiona pahala walaqhi, am I wrong.??
Siko poa kabisaPole sana Zack, inuka kung’uta vumbi songa mbele...
Hakuna gumu linalodumu
Kila. Kitu wapi.. Msinge achana br wanawake wapo wengi utamsahau tu huwezi jua Mungu amekuepusha na niniNilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamani?
Ndio manake hyo unatafta sababu isiyo na lawama kwa kosa dogo.mkuu kumbe mkiwaga na wengi hua mnatafuta kasababu kakutumwaga mkishatuchoka?
Why.?Stupid
Dunia hii sioni kama kuna mzuri zaidi yake hafu tunaendana kila kitu
Uzi gani??Ana wivu juu yangu +++
Shida ni kuchangia uzi fulani. Kaniblock kila sehemu
Manina sana wewe.unanichukuliaje labda
anko hayo mambo hayanaga baunsaHata wewe anko na ungangari wako unaendeshwa na haya mambo?