Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Tunamchafua kwani ndiyo tuliomtuma kutapeli na kutafuna waumini wake?
Yote hayo ni hoja nyepesi sana. Tukimuanika Halima Mdee hapa jukwaani tutakuwa tunapoteza muda tu japo madhambi yake tunayajua.

Gwajima apewe nafasi ili aje na mtazamo mpya kabisa jimboni.
 
Hapo alikuwa anaongea na waumini wake na sio wananchi, hiyo treni aliyokua anazungumzia ni ya kwenda mbiguni na sio ya kubeba wananchi, kwa hiyo waumini wake walimuelewa😁😁😁
Wacha weee !!
 
Mtatumia nguvu sana kumchafua lakini sauti ya zege ndio mwisho wa ubunge wake.
Unamchafuaje Gwajima wakati ni mchafu tayari?

Hivi mwana Kawe mwenye akili timamu atampigia, muongo, tapeli wa dini kama GWAJIMA?
CCM mnafiki wapi ? Si mungempa Angella Kizigha au Kipi Warioba ? Hapo kweli kungekuwa ushindani
 
CCM wenzangu, mm mnisamehe, Gwajima hapana, hapana, hapana mara 3, kabisa.. Wrong choice kabisa😠
Kwa namna fulani nadhani wamempa hii nafasi "kumuua" kabisa. I don't think he will rise again after this.
 
Yote hayo ni hoja nyepesi sana. Tukimuanika Halima Mdee hapa jukwaani tutakuwa tunapoteza muda tu japo madhambi yake tunayajua.

Gwajima apewe nafasi ili aje na mtazamo mpya kabisa jimboni.
Gwajima ameshindwa kutekeleza ahadi kwa waumini wake ambako ndiko anakopatia hela atatimiza huku? Hivi kuwaambia kuwa Birmingham iko Marekani anawaona watu wa Kawe ni mbumbumbu? Anawaongopea waumini amenunua treni ilhali hajajenga reli si kuwafanya watu ni vilaza. Hafai CCM mlikosea wenyewe kumpa huyu laghai tiketi hiyo.
 
Hapo alikuwa anaongea na waumini wake na sio wananchi, hiyo treni aliyokua anazungumzia ni ya kwenda mbiguni na sio ya kubeba wananchi, kwa hiyo waumini wake walimuelewa😁😁😁
Train ina kuja kuzinduliwa bila kuwepo njia (reli)
Kweli waumini wake wali muelewe angesema kabisa na huko mbinguni itafika lini!
 
Uzuri wa Gwajima amekuwa pande zote mbili,alipokuwa kule upande B basi wa upande A wakawa wakawa wanamshambulia na upande B wakimsifia ila sasa kaja upande A basi wale wa upande B wanamshambulia.

Mwisho wa siku wewe ndio unaonekana mjinga na si Gwajima.
 
Gwajima is a cheat masquerading as a man of God.
 
Hivi haya huonekana tu mtu akihama upinzani? Nyie ndio mliokuwa watetezi wake wakuu hata ilipotoka ile video mlimtetea. Wakati anaropoka mnayopenda mlisema hakuna Askofu kama yeye.

Upinzani bana, alafu akianza kufumua mabomu yenu ( anawajua vizuri sana) msianze kulialia. Mchokozeni tu
 
Gwajima ameshindwa kutekeleza ahadi kwa waumini wake ambako ndiko anakopatia hela atatimiza huku? Hivi kuwaambia kuwa Birmingham iko Marekani anawaona watu wa Kawe ni mbumbumbu? Anawaongopea waumini amenunua treni ilhali hajajenga reli si kuwafanya watu ni vilaza. Hafai CCM mlikosea wenyewe kumpa huyu laghai tiketi hiyo.View attachment 1569354
Douglas siku zote ondoa ujinga kwanza ndipo uongee mbele za watu.

Birmingham ipo Uingereza na ipo Marekani pia. Kumbuka kuwa wamarekani wazungu asili yao ni ulaya Uingereza ikiwemo.

Ipo miji Marekani yenye majina ya miji ya Ulaya kwa sababu asili ya watu ni ile ile.

Ni sawa na Ngara kuna bugarama na Kahama pia kuna bugarama,chimbuko la watu katika maeneo hayo unaweza kukuta ni moja na maana ya majina ya maeneo inakuwa ni ile ile.

Jitahidi utafute maarifa ili usinaswe katika mtego mbovu kama huu wa Birmingham😂😂.
 
Douglas siku zote ondoa ujinga kwanza ndipo uongee mbele za watu.

Birmingham ipo Uingereza na ipo Marekani pia. Kumbuka kuwa wamarekani wazungu asili yao ni ulaya Uingereza ikiwemo.

Ipo miji Marekani yenye majina ya miji ya Ulaya kwa sababu asili ya watu ni ile ile.

Ni sawa na Ngara kuna bugarama na Kahama pia kuna bugarama,chimbuko la watu katika maeneo hayo unaweza kukuta ni moja na maana ya majina ya maeneo inakuwa ni ile ile.

Jitahidi utafute maarifa ili usinaswe katika mtego mbovu kama huu wa Birmingham[emoji23][emoji23].
Umekimbilia kujibu hoja nyepesi ili uonekane una akili kubwa..!
Kazi ya gwajima ni kubwabwaja bila fact.
 
Back
Top Bottom