Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Na ccm wamempitisha kugombea ubunge. Watu wamejifungia siku 3 wakaibuka na jina la GwajimaJamaa liongo kupindukia halafu anajiita askofu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ccm wamempitisha kugombea ubunge. Watu wamejifungia siku 3 wakaibuka na jina la GwajimaJamaa liongo kupindukia halafu anajiita askofu,
Mwongo Gwajima
Tunamchafua kwani ndiyo tuliomtuma kutapeli na kutafuna waumini wake?Mtatumia nguvu sana kumchafua lakini sauti ya zege ndio mwisho wa ubunge wake.
Yote hayo ni hoja nyepesi sana. Tukimuanika Halima Mdee hapa jukwaani tutakuwa tunapoteza muda tu japo madhambi yake tunayajua.Tunamchafua kwani ndiyo tuliomtuma kutapeli na kutafuna waumini wake?
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Wacha weee !!Hapo alikuwa anaongea na waumini wake na sio wananchi, hiyo treni aliyokua anazungumzia ni ya kwenda mbiguni na sio ya kubeba wananchi, kwa hiyo waumini wake walimuelewa😁😁😁
Unamchafuaje Gwajima wakati ni mchafu tayari?Mtatumia nguvu sana kumchafua lakini sauti ya zege ndio mwisho wa ubunge wake.
Kwa namna fulani nadhani wamempa hii nafasi "kumuua" kabisa. I don't think he will rise again after this.CCM wenzangu, mm mnisamehe, Gwajima hapana, hapana, hapana mara 3, kabisa.. Wrong choice kabisa😠
Gwajima ameshindwa kutekeleza ahadi kwa waumini wake ambako ndiko anakopatia hela atatimiza huku? Hivi kuwaambia kuwa Birmingham iko Marekani anawaona watu wa Kawe ni mbumbumbu? Anawaongopea waumini amenunua treni ilhali hajajenga reli si kuwafanya watu ni vilaza. Hafai CCM mlikosea wenyewe kumpa huyu laghai tiketi hiyo.Yote hayo ni hoja nyepesi sana. Tukimuanika Halima Mdee hapa jukwaani tutakuwa tunapoteza muda tu japo madhambi yake tunayajua.
Gwajima apewe nafasi ili aje na mtazamo mpya kabisa jimboni.
Hutaki kwenda Marekani mjomba 😂😂😂Jamaa liongo kupindukia halafu anajiita askofu,
Train ina kuja kuzinduliwa bila kuwepo njia (reli)Hapo alikuwa anaongea na waumini wake na sio wananchi, hiyo treni aliyokua anazungumzia ni ya kwenda mbiguni na sio ya kubeba wananchi, kwa hiyo waumini wake walimuelewa😁😁😁
Kajanjakajanja sana usoni sijui kwa nini aisee?Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Douglas siku zote ondoa ujinga kwanza ndipo uongee mbele za watu.Gwajima ameshindwa kutekeleza ahadi kwa waumini wake ambako ndiko anakopatia hela atatimiza huku? Hivi kuwaambia kuwa Birmingham iko Marekani anawaona watu wa Kawe ni mbumbumbu? Anawaongopea waumini amenunua treni ilhali hajajenga reli si kuwafanya watu ni vilaza. Hafai CCM mlikosea wenyewe kumpa huyu laghai tiketi hiyo.View attachment 1569354
Umekimbilia kujibu hoja nyepesi ili uonekane una akili kubwa..!Douglas siku zote ondoa ujinga kwanza ndipo uongee mbele za watu.
Birmingham ipo Uingereza na ipo Marekani pia. Kumbuka kuwa wamarekani wazungu asili yao ni ulaya Uingereza ikiwemo.
Ipo miji Marekani yenye majina ya miji ya Ulaya kwa sababu asili ya watu ni ile ile.
Ni sawa na Ngara kuna bugarama na Kahama pia kuna bugarama,chimbuko la watu katika maeneo hayo unaweza kukuta ni moja na maana ya majina ya maeneo inakuwa ni ile ile.
Jitahidi utafute maarifa ili usinaswe katika mtego mbovu kama huu wa Birmingham[emoji23][emoji23].