Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza wewe kutoa au kuweka facts kwanini Gwajima hatashinda...usinifokee tu...weka facts zako hapa kwanini Gwajima hatashinda...personally simpendi kabisa Gwajima...ametukana watu wengi Sana akiwemo Kardinali Pengo...Wakatoliki tunawaheshimu mno maaskofu, makardinali na Papa...Kwa hiyo Mimi huyu Gwajima sitaki hata kumsikia...lakini mtu huyu Gwajima is a good orator...Ana kipaji Cha kuwageuza watu mawazo...kwa kutumia ulimi wake...Sasa nawaambieni huyu Gwajima atashinda Kawe...Hii mambo ya Mark my words mliisema kwa Makonda, mtu yeyote anayehakikisha mambo bila hoja au sababu za ki Science ni mchawi na mpiga Ramli.....
Usituambie Mark my words, type facts ....... based on 1,3,4..... inaashiria atashinda, Hivi mtu wa mwisho kuchaguliwa na wenyewe wengi anashindaje?
Anza wewe kutoa au kuweka facts kwanini Gwajima hatashinda...usinifokee tu...weka facts zako hapa kwanini Gwajima hatashinda...personally simpendi kabisa Gwajima...ametukana watu wengi Sana akiwemo Kardinali Pengo...Wakatoliki tunawaheshimu mno maaskofu, makardinali na Papa...Kwa hiyo Mimi huyu Gwajima sitaki hata kumsikia...lakini mtu huyu Gwajima is a good orator...Ana kipaji Cha kuwageuza watu mawazo...kwa kutumia ulimi wake...Sasa nawaambieni huyu Gwajima atashinda Kawe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeona jumba la Kakobe pale rainbow, mbezi chini, ni balaaaa.Mchungaji akitaka gari kanisa linamchangia.
Muumini akitaka gari kanisa linamuombea.
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Mimi nawaza tofauti na wewe! Kama aliweza kuchaguliwa kwenye kamati kuu wewe ndio hauna akili, yaani achana na kura za maoni, watu wenye uwezo wa kiakili na elimu na uzoefu wa kisiasa na mamlaka waliona ni vyema kumchagua kwa sababu nyingi nzuri, tofauti na wewe unayemuona hafai kwasababu ya makosa yake.Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Nyingine hii hapaMimi nawaza tofauti na wewe! Kama aliweza kuchaguliwa kwenye kamati kuu wewe ndio hauna akili, yaani achana na kura za maoni, watu wenye uwezo wa kiakili na elimu na uzoefu wa kisiasa na mamlaka waliona ni vyema kumchagua kwa sababu nyingi nzuri, tofauti na wewe unayemuona hafai kwasababu ya makosa yake.
Hayo aliyoyaahidi anaweza kufanya na zaidi ya hayo.
All in all Gwajima anafaaa sana!!!
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Huyu ndio think tank wa KijaniHuyu Gwajima ni bora angekaa home kwake akala ubwabwa tu
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
hahaaaa... shid aNyingine hii hapa
View attachment 1580518
Dah mkuu nineshtuka kuona hii thread nikasema jamaa ashakula tena kondoo mwingine mweupe?Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Huyu ana aakili nzuri kweli!!!?Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Unasikia anavyoshangiliwa? Hayo anaweza akayasema mjengoni akashangiliwa piaHivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?