Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Anaahidi kujenga chuo cha uvuvi wakati kashindwa kujenga kanisa mwaka wa ngapi sasa?huyu anachojua ni ahadi ahadi tu.Akiwa Mbunge ndio kabisaaa atawaahidi wana kawe,aihamishe kawe iwe kisiwa baharini.
 
Hii mambo ya Mark my words mliisema kwa Makonda, mtu yeyote anayehakikisha mambo bila hoja au sababu za ki Science ni mchawi na mpiga Ramli.....

Usituambie Mark my words, type facts ....... based on 1,3,4..... inaashiria atashinda, Hivi mtu wa mwisho kuchaguliwa na wenyewe wengi anashindaje?
Anza wewe kutoa au kuweka facts kwanini Gwajima hatashinda...usinifokee tu...weka facts zako hapa kwanini Gwajima hatashinda...personally simpendi kabisa Gwajima...ametukana watu wengi Sana akiwemo Kardinali Pengo...Wakatoliki tunawaheshimu mno maaskofu, makardinali na Papa...Kwa hiyo Mimi huyu Gwajima sitaki hata kumsikia...lakini mtu huyu Gwajima is a good orator...Ana kipaji Cha kuwageuza watu mawazo...kwa kutumia ulimi wake...Sasa nawaambieni huyu Gwajima atashinda Kawe...
 
Nilikuwa sijawaza jaman najadili na mtu mwenye uelewa mdogo hivi, samahani, Nafikiri Upo sahihi! Jioni njema
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877

Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu Gwajize ni pimbi aisee. Na hao waumini wake ni useless kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877

Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash

Hii ndio aina ya watu waliojaa CCM! Waongo, wasio na aibu, wajanja janja, wezi, matapeli, wauaji. Wasio na maadili wala hofu ya Mungu.

Huyu naye CCM wamebeba. Ana scandal za kutia kilema. Lakini wanajifanya hawaoni.

Mungu hadhihakiwi
 
CCM miliwaza.hadi kutuletea huyo jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ole wenu mchakachue kura za halima mdee
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877

Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Mimi nawaza tofauti na wewe! Kama aliweza kuchaguliwa kwenye kamati kuu wewe ndio hauna akili, yaani achana na kura za maoni, watu wenye uwezo wa kiakili na elimu na uzoefu wa kisiasa na mamlaka waliona ni vyema kumchagua kwa sababu nyingi nzuri, tofauti na wewe unayemuona hafai kwasababu ya makosa yake.
Hayo aliyoyaahidi anaweza kufanya na zaidi ya hayo.
All in all Gwajima anafaaa sana!!!
 
Nyingine hii hapa
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877

Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Dah mkuu nineshtuka kuona hii thread nikasema jamaa ashakula tena kondoo mwingine mweupe?
Akitoa video nyingine ya ngono huyu Askofu chidimapenzi unitumie PM mkuu
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877

Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Huyu ana aakili nzuri kweli!!!?

Ana reli!?

Au ni huyu aliandika uzi humu akiuliza ni wapi anaweza kupata treni mpya
 
Back
Top Bottom