samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
Wajiandae kuingia betting tu hakuna namnahata hao wenye 1 hadi 3 hawama mwendelezo baada ya chuo
kifupi serikali iko kazini kuandaa panya road na wapiga zumari wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajiandae kuingia betting tu hakuna namnahata hao wenye 1 hadi 3 hawama mwendelezo baada ya chuo
kifupi serikali iko kazini kuandaa panya road na wapiga zumari wake
Hawo wote ni zero tu na ukijumlisha wote wenye zero na foo, wanafika 96% ya wanafunzi wote. Waliopata 1 mpaka 3 ni asilimia 4% tu. Hii nchi ina mambo ya kipumbavu sana aisee!Hao wenye four ni ziro hizo…. Wamedanganywa! Ndio maana siku hizi hawatangazi shule wala wanafunzi waliofanya vizuri au vibaya… wanataka kuficha madudu…
Hakuna mtoto wa diwani, mbunge, na vigogo wengine anasoma kwenye hizi shule zaidi ya watoto wa masikiniNdugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022.
Baada ya kusikiliza matokeo yaliyowasilishwa, nimeingia kwenye mtandao kujiridhisha kama alichosema katibu kinaakisi kupanda ufaulu au la. Nimegundua serikali imejificha kwenye kichaka cha siasa ndio maana kila siku mambo yanaenda ovyo lakini watanzania hawajali. Wamekaa kimya kama mabubu kana kwamba kila kitu kiko sawa.
Serikali inaficha uovu wake wa kuua elimu ya watanzania kwenye siasa za majitaka. Zamani NECTA walikuwa hawatoi matokeo ya jumla na ya kipuuzi kama haya wanayotoa sasa. Walilazmishwa kubadili mfumo kisiasa ili kufunika kombe mwanaharamu apite. Kwa mfano, siku za nyuma wanafunzi walikuwa wanachaguliwa kuingia kidato cha kwanza kwa kuangalia jumla ya alama ambazo kila mwanafunzi amepata.
Kipindi hicho nafasi za sekondari zilikuwa chache, hivyo ushindani ulikuwa mkubwa. Pia mitihani ilikuwa migumu sana. Kwa mfano, kwa upande wa shule za msingi kulikuwa na mkusanyiko wa masomo matatu tu yaani Lugha, Hisabati na Maarifa, na kila somo lilichukua jumla ya alama 50. Hivyo, jumla ya alama za juu ilikuwa 150.
Haikuwa ajabu mwanafunzi kupata alama 145 akakosa nafasi ya kwenda sekondari. Siku hizi utakuta mwanafunzi kapata alama 11 lakini anachaguliwa kwenda sekondari kwa kisingizio cha kwamba amepata wastani wa D! Hii ni nchi ya ajabu sana. Ndio maana serikali imefanya kila njia kuongeza mafumbo kwenye elimu ili kuficha udhaifu wa kushuka kwa kiwango cha elimu na ufaulu katika nchi hii.
Nikirejea kwenye hoja yangu ya msingi, ukiangalia matokeo ya shule za serikali (shule za kata) ambazo NECTA inasema ufaulu wake umepanda, ni ubatili mtupu. Nimejaribu kuchukua shule chache kama mfano. Hebu tazama hiki kichekesho, ucheke uongeze siku za kuishi:
View attachment 2882622
View attachment 2882624View attachment 2882625View attachment 2882628
Ukihesabu idadi ya wanafunzi walioangukia kwenye ufaulu wa daraja la nne ni zaidi ya 95% ya wanafunzi wote nchi nzima. Kumbe ufauulu ulioongezeka ni wa divisheni foo! Sote tunafahamu kuwa ufaulu wa divisheni foo hauna maana yoyote. Mwanafunzi aliyepata divisheni foo hastahili hata kupewa cheti. Akafanyie nini hicho cheti? Hakina maana yoyote ile.
Hivi serikali sikivu ya CCM mnamdanganya nani na haya matokeo yenu ya mchongo ambayo kila mwaka ufaulu wake unapanda? Haya ndiyo maajabu ya serikali hii ya kusadikika iliyojaa hadaa, usanii na unafiki kila mahali.
Hapo serikali ya CCM inasema shule yote wamefaulu [emoji23]Ahsante kwa kuliongelea hili swala,wakati naangalia haya matokeo nilimwambia jamaa yangu hawa serekali wanamdanganya nani,kuna shule ina fo 230 bila zero,ikabidi tucheke tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee wizo ulipata ngapii?DIVISHENI FOO
Kwan uongo? Serikali ndo inataka hivi.Kuna jamaa niliona kwenye sherehe ya Manara anawatukana waliosoma kwamba yeye ni Zero Ila anawaongoza wenye Degrees Masters na PhD, hizi Si dharau hizi zinazofanya madogo wakaandike matusi kwenye pepa
Mimi nina maakili balaa, nilitusua DIVISHENI ONE kali sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee wizo ulipata ngapii?
Kwa hio ndio inaona ni Jambo zuri wasomi kutukanwa mitandaoni? Jamaa anatukana kabisa ooh we unasema unaenda kusoma Mwanza ooh we unaenda kusoma Uganda unarudi unakuta huna kazi huna Ajira Mimi ndio nakuongaza Kiko wapi? Kwa hio kusoma hakuna maanaKwan uongo? Serikali ndo inataka hivi.
Fafanua mkuuForm IV failure wa 2000's hawezi kaa meza moja na graduate wa 2010's
Kabisa Mkuu yaani ukiwa Mjini Dar es Salaam unaweza kudhani inawezekana lakini huko vijijini huu mtaala mpya hauwezekani kabisa yaani.Serikali tayari imeanza mchakato wa kuhamia kwenye mtaala wa CBC bila kufundisha walimu (on-job training) na wala hakuna vitendea kazi na mazingila ya kutekeleza mtaala mpya. Hali itakuwa mbaya zaidi kwenye huu mtaala mpya kuliko huu wa kukariri.
Kwenye hizo shule ulizotaja,nyingi Zina watoto wengi wa Kiislamu ambao wanaweka mbele Elim akhera kuliko Elim Dunia,mwisho wa siku ndio haya.......watapata thawabu na AllahNdugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022.
Baada ya kusikiliza matokeo yaliyowasilishwa, nimeingia kwenye mtandao kujiridhisha kama alichosema katibu kinaakisi kupanda ufaulu au la. Nimegundua serikali imejificha kwenye kichaka cha siasa ndio maana kila siku mambo yanaenda ovyo lakini watanzania hawajali. Wamekaa kimya kama mabubu kana kwamba kila kitu kiko sawa.
Serikali inaficha uovu wake wa kuua elimu ya watanzania kwenye siasa za majitaka. Zamani NECTA walikuwa hawatoi matokeo ya jumla na ya kipuuzi kama haya wanayotoa sasa. Walilazmishwa kubadili mfumo kisiasa ili kufunika kombe mwanaharamu apite. Kwa mfano, siku za nyuma wanafunzi walikuwa wanachaguliwa kuingia kidato cha kwanza kwa kuangalia jumla ya alama ambazo kila mwanafunzi amepata.
Kipindi hicho nafasi za sekondari zilikuwa chache, hivyo ushindani ulikuwa mkubwa. Pia mitihani ilikuwa migumu sana. Kwa mfano, kwa upande wa shule za msingi kulikuwa na mkusanyiko wa masomo matatu tu yaani Lugha, Hisabati na Maarifa, na kila somo lilichukua jumla ya alama 50. Hivyo, jumla ya alama za juu ilikuwa 150.
Haikuwa ajabu mwanafunzi kupata alama 145 akakosa nafasi ya kwenda sekondari. Siku hizi utakuta mwanafunzi kapata alama 11 lakini anachaguliwa kwenda sekondari kwa kisingizio cha kwamba amepata wastani wa D! Hii ni nchi ya ajabu sana. Ndio maana serikali imefanya kila njia kuongeza mafumbo kwenye elimu ili kuficha udhaifu wa kushuka kwa kiwango cha elimu na ufaulu katika nchi hii.
Nikirejea kwenye hoja yangu ya msingi, ukiangalia matokeo ya shule za serikali (shule za kata) ambazo NECTA inasema ufaulu wake umepanda, ni ubatili mtupu. Nimejaribu kuchukua shule chache kama mfano. Hebu tazama hiki kichekesho, ucheke uongeze siku za kuishi:
View attachment 2882622
View attachment 2882624View attachment 2882625View attachment 2882628
Ukihesabu idadi ya wanafunzi walioangukia kwenye ufaulu wa daraja la nne ni zaidi ya 95% ya wanafunzi wote nchi nzima. Kumbe ufauulu ulioongezeka ni wa divisheni foo! Sote tunafahamu kuwa ufaulu wa divisheni foo hauna maana yoyote. Mwanafunzi aliyepata divisheni foo hastahili hata kupewa cheti. Akafanyie nini hicho cheti? Hakina maana yoyote ile.
Hivi serikali sikivu ya CCM mnamdanganya nani na haya matokeo yenu ya mchongo ambayo kila mwaka ufaulu wake unapanda? Haya ndiyo maajabu ya serikali hii ya kusadikika iliyojaa hadaa, usanii na unafiki kila mahali.
Una uhakika mkuu? Ngoja tumuite bi mkubwa FaizaFoxy aje kuthibitisha.Kwenye hizo shule ulizotaja,nyingi Zina watoto wengi wa Kiislamu ambao wanaweka mbele Elim akhera kuliko Elim Dunia,mwisho wa siku ndio haya.......watapata thawabu na Allah
Mzee wangu said mohamed njoo uone wajukuu wako wanavyopotea
Mbagala wanafunzi 65% ni MuslimsUna uhakika mkuu? Ngoja tumuite bi mkubwa FaizaFoxy aje kuthibitisha.
Leta vitu.Sikubaliani na mtoa mada
Tusubiri wenyewe waje mkuu. Ukiwaambia kama jambo hili wanakuwa wakali sana. Hawataki kuambiwa ukweli.Mbagala wanafunzi 65% ni Muslims
Tuangoma wanafunzi 70% ni Muslims
Abdallah Ulega wanafunzi 89% ni Muslims
Na bado hujagusa sehemu za Chake chake,Wete,Mjini Magharibi au Kaskazini Unguja..........huko hali ni mbaya sana kwa Watanzania wenzetu
Mkuu asante kwa hii nyongeza. Sasa kila kitu kiko uchi....serikali ipo uchi, NECTA ipo uchi na CCM ipo uchi. Usanii wa serikali kupika matokeo unaanzia kidato cha pili. Hebu tazama upishi huu ambao NECTA imefanya kwenye maatokeo ya kidato cha pili:Ccm ndo chanzo
Vya bure toka lini vikawa na ubora?
Je watoto wao wanasoma hizo shule za kata?
Hilo kundi la waliopata division 4 na 0 nakuhakikishia tayari lishaondolewa ufahamu ko kulipelekesha utakavyo ni rahisi, target ya ccm.
Sio muda mrefu tu, kulikuwa na uchaguzi wa ccm chipukizi mlijionea wenyewe majina ni yale yale. Means hata ukimaliza chuo uhakika wa ajira huna hata greengard ana uhakika wa ajira kuliko msomi
View attachment 2883064
ccm inajua mchezo inaoufanya kila sehem kumekuwa ni siasa tu!View attachment 2883063