Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

Pole sana mdogo wangu..naomba utusamehe bure, hata hivyo tumezidiwa na idadi yenu maana tupo wachache mno mdogo wangu…ngoja tutakuwa tunakumbushana ili kujitahidi tusiwakatishe tamaa!
 
Si kweli kwa mengi uliyoandika, kasome vizuri ujue ukweli.
 
Si kweli kwa mengi uliyoandika, kasome vizuri ujue ukweli.
Elezea basi kisomi na ww yapi siyo ya kweli na kivipi yasivyo kweli na uweke ukweli wenyewe.. Hivyo ndio huwa tunajadiri kisomi ndg yangu!
 
Tue
Tuende mbele na kurudi nyuma: Kwanza tuende mbele; Kutumia utaratibu wa GPA ya juu ni muhimu! Kwanza hizo GPA bado zinapatikana sana. Hakuna mwaka ambao nchi nzima asitokee daktari au mfamasia mwenye GPA zaidi ya 3.5 tena wapo wa kutosha. Tusilazimishe kupanua goli ili kila MTU aweze kufunga!
Kisha turudi nyuma; Hakuna sheria rasmi inayodai ili MTU afundishe chuo kikuu ni lazima awe na GPA ya 3.8! Ndio maana vyuo vikuu vya binafsi vinataka GPA ya 3.5 tu kwa mujibu wa viwango vya TCU. Lakini tatizo wazee (maprofesa toka zama za mkoloni) hawataki wapoteze umuhimu! Wanataka wabaki wao tu japo nguvu zao zimewaishia. Wakaamua kupunguza goli ( toka GPA 3.5. Mpaka 3.8) bila sababu yoyote zaidi ya kuweka kikwazo kwa kizazi kipya!! Ukiwafuatilia wenyewe wengi walisoma kwa kuunga unga sana!!
Napendekeza GPA ibaki 3.5 maana hii ya 3.8 iliingizwa kinyemela tu kwa roho mbàya! Ila isishuke chini ya hapo. Na lile sharti la GPA 4.0 kwa masters lifutiliwe mbali!
 
Si kweli kwamba wenye GPA ya 3.8 na kuendelea hawawezi kazi kwa vitendo wala hawana reasoning. Na si kweli pia kwamba waliopata GPA chini ya 3.5 wrote wana uwezo mkubwa na reasoning nzuri katika utekelezaji wa kazi kwa vitendo.
Ikumbukwe kuwa MTU hachukuliwi automativally kuwa mwalimu chuoni kwa kigezo cha GPA kama ilivyokuwa zamani bali wanaokizi vigezo wanafanyiwa usaili. Yule mwenye GPA kubwa lakini hawezi kazi ataenguliwa na usaili. Wenye GPA kubwa na uwezo pia ndio watakaochukuliwa! Tusilazimishe kupanua goli ili hata vilaza wafunge!
 
Hatupanui gori, tunachotaka ni kutatua tatizo kwa ujumla wake! Hao wenye GPA ndogo waitwe nao wafanyiwe interview wakionyesha uwezo mzuri pasi kujari GPA zao wachukuliwe na waajiliwe kwenye ajira za kudumu! Hii itatupunguzia mzigo ss tuomo tayari kwenye hii ajira!
Hapo mwanzo ajira kwa wakufunzi wa madaktari hazikufuata GPA! Waliangalia ufaulu wa somo husika, na somo jingine lenye mahusiano ya karibu na somo husika! Mapichpicha ya GPA kwenye medics yamechomekwa hivi karibuni! Nenda kacheki tena references zako!
 
TCU katika guidelines zao mpya wamerekebisha na kusema itumike ya 3.5 kwa vyuo vote.
 
Elezea basi kisomi na ww yapi siyo ya kweli na kivipi yasivyo kweli na uweke ukweli wenyewe.. Hivyo ndio huwa tunajadiri kisomi ndg yangu!
Kama nimekukwaza samahani mkuu, mimi ni mivu sana wa kuandika
 
TCU katika guidelines zao mpya wamerekebisha na kusema itumike ya 3.5 kwa vyuo vote.
Kilio cha mtoa mada kimesikika! TCU tangu before cut off point ilikuwa 3.5 ndio maana private universities zilikuwa zinatumia hiyo! Shida ilikuwa kwenye public universities walioamua kupunguza goli mpaka a minimum of 3.8 GPA kwa maslahi ya nani au maslahi yepi haijulikani!!
 
Hakuna somo Gumu duniani. Sema umelazimisha kusoma kitu usicho na uwezo nacho!! ndio maana GPA ya 3.8 au 5.0 hupati

Pili mfumo wetu wa Eimu hadi Chuo 70% ni Theory. Umesoma Primary hadi A-Level shule ya Kata bila Practical. English hawajui. Hicho ki Latin sijui vp tu. Afu PCB. CHUO eti Doctor of Medicine. Kama siyo kuuana (Killing) ndg ni nn huku? Afu Madogo ni matozi balaaa. Hawakomai.
Hizi Ada tunazolipa kusoma Udaktari zina faa kusomea SOCIOLOGY. Yaani Ulipe mshahara Lecturer, Majengo + Adm fee + Practical kwenye mwili wa mtu ada iwe Million 5! Thubutu. Kutokana na umhimu wa Intelligent & Competent Lecturers mm binafsi na support TCU ku kaza uzi ili kulingana na changamoto za Mazingira yetu bado tuendelee kupata walimu bora. Siyo wote watakuwa ma Lecturers. Hakuna Somo gumu. Tukilegeza tu tutapata mazao mabovu shambani.

Tatu, Ktk nchi zote na Ulaya Lecturers ni Professors au Dr. Hata Kenya (CUK) iliweka by 2017 Lecturers wote wawe na PhD. Hivi sasa 90% ya vyuo vyao ma lecturers ni Doctors (PhD). Tz vyuo vyote either Public or Private Professors na Ma doctors ni 10% to 30% tu. Mfano ukienda MZUMBE Masters ana fundishwa na Masters mwenzao. Huyu Lecturer wa Masters hana uzoefu. Hana tafiti (Research nzr hufunzwa at PhD level). Afu huyu ushushe GPA ktk ku Assess!! Baadae tutakuwa naTaifa la Wajinga na Madaktari wa hovyo. Hivyo basi GPA ziko juu kwa sababu ya kufidia shortage of Skilled & Qualified Human Resources (Hawa wa masters hawakupaswa kufunza ila wawe wasaidizi tu).

Hata Publications level ya PhD na Masters students na Ma Lecturers Tz tupo nyuma mnooo. Kwa kifupi Tz ipo nyuma ktk vigezo vya hii fani hadi Salary!

Kuna agizo la TCU kupunguza Ma lecturers vyuoni wenye GPA below 3.5 for sciences na 3.8 for Social science degree. Masters uwe na GPA 4.0+ Mm naona ungelalamikia Incentives na mishahara yenu midogo. Unless otherwise nita nusa harufu ya kuto kidhi vigezo kwa mtoa mada.Lecturers walipwe hata 7m kama wana vigezo. Yaani King Msukuma anakula 13M per month[emoji3]

TCU Yy afanye ku REGULATE tu. Iache kuingilia Lecturers. Acha watoto wapigwe Supp na Disco ili wasome. Yaani kwa sasa Madogo wana ongoza kwa kuoana, Mimba, Club, kuchat na kutumiana picha Whatsapp na Instagram. Akisahau daftari hostel harudii ila akisahau Smart phone fastaaa Boda!!
Tupunguze Siasa ktk Elimu. GPA zinapatikana tu.

Wakipunguza GPA tutapata wataalam wa Ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…