Okay, I am genuinely sorry, I have overstepped.
Lakini ukweli lazima usemwe, hilo tatizo unalolizungumzia lilikuwepo ( au bado lipo), na halijasabibishwa na vitendea kazi au mazingira duni ya ufundishaji.
Limesababishwa na walimu wa hapo kwenu.
Muhimbili ina wa walimu wengi, ina resources nyingi kuliko vyuo vingine ambavyo wanafunzi wanapata marks nzuri tu.
Hapo shida ni nyie walimu mbadilike, mfanye mentorship, aandaeni kizazi kinachokuja. Ndio kazi yenu, mnalipwa kwa kazi hiyo.
Ningeandika zaidi wala wacha nianze Christmas kwa kunywa beers kwanza.
Sent using
Jamii Forums mobile app