Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,919
- 2,843
- Thread starter
- #221
Afu usiniudhi unajua, rudi kwenye hoja ya msingi, sikujikita Muhi2 mimi, nimeeleza kwa vyuo vyetu vyote vya udaktari Tz, na hasa ktk idara tajwa hapo juu!Wewe inaonekana huelewi. Nakuuliza mbona vyuo vingine vya Medicine Tanzania hakuna hayo malalamiko ya gpa ? Ina maana ni Muhimbili peke yake ndio mwanafunzi anatakiwa kupitia idara 16?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajalalamika!? Unataka waje nyumbani kwako kukulalamikia!? Toka kwenye chumba chako, pita idarani ktk vyuo vyote vya madaktari Tanzania, ukimaliza rudi hapa kama utakuja na hoja zako hizo! Eti hawalalamiki, ebo!