Mbona kama umepaniki mkuu? au na wewe ni muhanga wa GPA ya 3.8?Asante kwa kunisahihisha, ila naamini umeelewa nilichomaanisha! majengo yanadondoka na khatarisha usalama wa raia na mali zao, sijui mmekwama wapi kama GPA ndio mpango mzima!?
Unavyosema fani yenu una uhakika gani fani yangu ni uhandisi?Huko kwenye fani yenu kuna wahandisi wenye GPA za kufa mtu lakini output ni hovyo kabisa,
Je una uhakika gani mimi sio dokta?Tunaposimama kutaka kujikwamua ktk fani yetu ya udaktari usijaribu dandia treni kwa mbele!
Una uhakika gani udaktari haunihusu?Pambaneni na hali zenu kwanza kabla ya kuanza kushadadia yasowahusu.
ndugu yangu andreakalima, siyo kwmba tuna waponda, ni kwamba waliosoma nje, walisoma kwa mifumo ya huko ambayo ili wa'practise, lazima wawe na 'supportive infrastructure' inayofanana na mfumo wa mafunzo yao. Wanaporudi huku nyumbani, wanakua na wakati mgumu kuendana na uhalisia wa huku maana diagnostic computerized labs walizozizoea huko waposoma za kuwasaidia kufanya kazi vizuri hawazikuti huku kwetu, kwa hiyo hujikuta kuanza kurudi nyuma na kujifunza vitu vinavyoweza kuendana na uhalisia wa huku kwetu.Sasa iweje mponde Waliosoma vyuo bora nje na kupata GPA kubwa? Aunt chuki tu?
Natamani sana tufike huko ili kuondoka na slavish mentality! Mungu atusaidie na kuwasaidia viongozi tulionao ili kuwa na maona yenye tija juu ya 'future ya nchi yetu!Tumeweza kuagiza ndege Zeus tena kwa CASH. Tutashindwa hizo mambo zenu za hospitali. Awamu ijayo tutakeleza
Yuko mtaan?Nina mdogo wangu ambaye kwa kweli ana sifa zote za kubaki pale Muhas lakini sababu ya ujinga huu yupo mtaani tu!
Olevel aliongoza masomo ya sayansi Tanzania nzima! Alevel pia alikuwa among the best student pale Ilboru! alipofika Muhas kajitahidi masomo yake amepata A na B+ ila kwa sbabu hakufikisha GPA ya 3.8 alipata kama 3.6 amekosa sifa hizo..ila kijana yuko vizuri sana kwenye Anatomy na mambo ya surgery mno.
Kwakweli wajiangalie upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Armata, siyo wivu, ni mazingira duni ya kujifunza ndio l tatizo! Wakufunzi adimu, vifaa vya kujifunzia duni, mwisho wa siku unatakiwa kuzalisha madaktari walio salama kutibu wagonjwa kwa kutumia vifaa vichache vilivyopo vya uchunguzi!Ninachojua ni kuwa ukisoma udaktari Tanzania utapata tabu sana ndo maana nilifaulu masomo lakini chuo nikabadili gia angani. Bora anayesoma Engineering kule hawana wivu. Hawa majamaa wa sekta ya utabibu nahisi wana wivu na kuogopa competition. Lakini inawezekana ni mbinu ya kupunguza wahitimu wa fani mbalimbali maana ajira hazitolewi kwa wingi. Mfano mtu anayesoma udaktari nchini Uturuki anakuja na ufaulu mkubwa mno, kamlinganishe na MUHAS mwenye GPA ndogo utashangaa.
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Hatuongelei maswala binafsi hapa, tunaongelea mambo yenye maslahi kwa nchi yetu!Sasa mkuu nichukie nini?
Mimi nimekushangaa tu unageuza topic ni ya kutukana fani zisizohusika hapa wakati wala sio topic
…………………………..
Kwakweli binafsi siafiki kabisa na bado hujatoa hoja za kunishawishi mpaka sasa!
Hatuongelei maswala binafsi hapa, tunaongelea mambo yenye maslahi kwa nchi yetu!
Anayewaza GPA ishushwe anataka kutuletea majanga vyuo vikuu na hospitaliniSasa mkuu nichukie nini?
Mimi nimekushangaa tu unageuza topic ni ya kutukana fani zisizohusika hapa wakati wala sio topic
Mazingira gani unayosemea unayajua wewe?Unachukua experiences zako binafsi kwenye hospitali na chuo ulichopo ndio mfano wa Tanzania nzima!
Wewe hoja ya kuitoa 3.8 kuipeleka 3.5 sijui umeitoa wapi na kwa hesabu zipi hasa!?
Maana umejisemea tu binafsi kwa ugumu unaouona wewe kwa upande wako
Fanya thorough research utupe real numbers hapa na sio eti “kwa macho yangu”!
Maana watu mbalimbali wana experience tofauti tofauti kwenye kazi hiyo hiyo unayoifanya kwenye shirika hilo hilo!
Sekta ya Engineering na Medicine nchi hii zote ni mavi matupu hakuna mwenye afadhali!
Halafu GPA ya Engineering unaifananisha na GPA ya Medicine unafeli...Haya masomo ni tofauti kabisa!
Engineering kua na GPAs kubwa sio tatizo maana kwenye soko la kazi cut off zao ni kubwa pia accordingly ambapo ni law of economics kwamba quantity ikiwa kubwa bar is raised higher na mshahara unashuka chini!
Ukiangalia matatizo ya majengo na madaraja sijui na nini ni vizuri ukaleta takwimu.Maana nako mahospitalini watu wanakufa kila siku,lakini hatuwezi ku-generalize
Sekta ya Medicine ni nyeti nchi hii na mimi binafsi sitakubaliana na nyie eti GPA zishushwe!
Kwakweli binafsi siafiki kabisa na bado hujatoa hoja za kunishawishi mpaka sasa!
Anayewaza GPA ishushwe anataka kutuletea majanga vyuo vikuu na hospitalini
Hapo hapo ukiwauliza sasa kama GPA isiwe kigezo cha kuajiri tutumie kigezo gani? Hawana majibu. Ndio maana ukabila hauwezi kwisha.Wanashindwa kuelewa hii sekta ya utatibu haina tolerance ya mistakes kama sekta nyingine huku!
Kwa mfano sisi engineering tunaruhusiwa kua na tolerance ya error 5% lakini sio udaktari!
Sasa hawa wanataka nchi ishuke iwafate kwenye GPA zao ndogo!
Ni hatari in a long run!