Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

Nchi isiyoishiwa vihoja..
 
Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa hivi karibuni anatarajiwa kurudi bungeni ili kuisambaratisha Zaid CHADEMA stay tuned!
 
Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa hivi karibuni anatarajiwa kurudi bungeni ili kuisambaratisha Zaid CHADEMA stay tuned!

Hapo ndipo inapothibitika kuwa nchi hii imrjaa watu wajinga kupindukia!

Kwa hiyo kazi ya mbunge wa Tanzania ni kuisambaratisha CHADEMA! Ndiyo maana watawala wanaamua kufanya kila aina ya uchafu kwa sababu wanajua kuwa nchi imejaa wajinga. Fikiria mtu hajuia hata kazi za mbunge!!
 
Hapo ni Mchungaji Msigwa,Kafulila au Makonda,mmoja wapo ana-replace.
 
CCM ina mbinu 1000 za kushinda uchaguzi. Unazijua zote? Maana hata Katibu Mkuu anazozijua hazizidi tano!!?
Hawana mbinu yoyote zaidi ya mbeleko ya vyombo vya dola. Usitake kuwafanya hao mabumunda kuonekana wana akili hiyo wakati hawana.
 
Wewe usie mjinga upo nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…