Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Bashite? Msigwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi isiyoishiwa vihoja..Hapo beirut kimewaka!
Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea Mwaisapile ili tumalize nguvu wa Palestina!
Kwanza inabidi umsemevibaya Mahamoud Abbas
Basi ndo anasubiriwa kwenye ka mkeka ! Baada ya Jamaa mmoja kuachia kiti atapewa nafasi asimamie ukanda wa Gaza ili kuziba kiti cha alojiuzulu,
Tukanywe Kikombe sasa
Britanicca
Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa hivi karibuni anatarajiwa kurudi bungeni ili kuisambaratisha Zaid CHADEMA stay tuned!
pigia mstari majibuAnapewa nafasi ya yule aliyejiuzulu leo?
Kama tetesi hii ni kweli, acha niendelee kuheshimu wazungu kwa kutuita manyani.Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa hivi karibuni anatarajiwa kurudi bungeni ili kuisambaratisha Zaid CHADEMA stay tuned!
Konda boyKiukweli kuna vijana wangu nawaonaga sana pale CCM Mkoa Arusha muda mwingi itawaumiza kinyama. Vijana waingie kwenye siasa bila kuwaza teuzi itawasaidia kisaikolojia.
Hawana mbinu yoyote zaidi ya mbeleko ya vyombo vya dola. Usitake kuwafanya hao mabumunda kuonekana wana akili hiyo wakati hawana.CCM ina mbinu 1000 za kushinda uchaguzi. Unazijua zote? Maana hata Katibu Mkuu anazozijua hazizidi tano!!?
Kuna kaukweli fulani hivi 😂😂😆,Msigwa atapata uteuzi wafia chama poleniSheikh yahya na dkt majura kipindi cha nyuma walikuwa watabiri kwenye gazeti la mfanyakazi!
Stop calling him doctor wakati hana hata mastersMheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa hivi karibuni anatarajiwa kurudi bungeni ili kuisambaratisha Zaid CHADEMA stay tuned!
Wacha wivu!Kuna kaukweli fulani hivi 😂😂😆,Msigwa atapata uteuzi wafia chama poleni
Wewe usie mjinga upo nchi gani?Hapo ndipo inapothibitika kuwa nchi hii imrjaa watu wajinga kupindukia!
Kwa hiyo kazi ya mbunge wa Tanzania ni kuisambaratisha CHADEMA! Ndiyo maana watawala wanaamua kufanya kila aina ya uchafu kwa sababu wanajua kuwa nchi imejaa wajinga. Fikiria mtu hajuia hata kazi za mbunge!!
Hiki chama kipo kwanini gazeti pendww like lilikufa?Sheikh yahya na dkt majura kipindi cha nyuma walikuwa watabiri kwenye gazeti la mfanyakazi!
Hongereni Chadema kwa kuchukua nafasi lukuki za CCM asilia. Bravo serikali ni ya CDMKuna mmoja atatoka ukuu wa mkoa kuwa waziri na huyo wa kutokea Chadema atachukua nafasi yake.
Jinsi nilivyomwelewa mleta mada.
Wewe kilaza unafikiri kila mtu ni chadema.Hongereni Chadema kwa kuchukua nafasi lukuki za CCM asilia. Bravo serikali ni ya CDM