DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
huu moto ulikuwa mkaliUliwahi kuifuatilia ligi ya kati ya meya wa manispaa wakati ule aliitwa Amani na mbunge wakati huo akiwa Kagasheki?
Mwanzo wa stori yao walikua marafiki sana na Kagasheki ndo alimsapoti sana Amani hadi Amani akawa Meya wa Bukoba.
Rafiki wa leo ndio adui wa kesho. Hawa wawili waligeuka kuwa mahasimu wakubwa muno kimahusiano, kisiasa, kijamii na kiutawala nk
Ilikuwepo lig ya christopher kaman na raphael chegen kama sijakosea maeneo ya busegaMiaka imeenda Sana .
Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga.
Kula zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa.
Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
This time league imechezwa kati ya LGA vs Mbunge. Hakuna jinsi nyingine yoyote ya kumtenganisha Hajat Fatma na jina la Byabato kutorudi. Mama Fatma alipambana sana kutuaminisha kuwa miradi na maendeleo yote yaliyofanyika kipindi hiki ni kwa juhudi za LGA ikiongozwa na RC. Dhana hii mpya ghafla imeota mizizi nchini maana Makonda naye kafanya hayo hayo kumn'goa GamboKagasheki alikuwa anapenda ligi saana...Kuna ligi alianzishaga miaka hyo ya kumng'oa Mayor, aisee! huyu jamaaa hafai hyo ligi iliondoka na Mkurugenzi na wakuu wa idara, sema nini !! wakuu wa idara ilikuwa kama geresha walikuja kubaki ila mkurugenzi walimuonea...Wahay wahaya mnajijua wenyewe..Sema Mayor naye hakuwa mtoto hahahaha! wanaoijua hii ligi wameshaelewa.
Mkuu hata mimi kwa kumbukumbu zangu hao jamaa walikua na battle kubwa unaweza ukadhani hawatoki chama kimoja.... unaambiwa hao jamaa walikua ni full kutafutana kuuana jimbo halitulii..Ilikuwepo lig ya christopher kaman na raphael chegen kama sijakosea maeneo ya busega
Na wewe hapo kwenye rafudhi, huenda ni poti poti.Sijui umeandika kwa haraka au sijui ndo rafudhi yako ulivyo
Tarimeeeee? Teh teh tehNa wewe hapo kwenye rafudhi, huenda ni poti poti.
Lwakatare alikuwa CHADEMA kama nakumbuka vizuri? Halafu akaja kuhama? Kweli umekumbusha mbali. Ni moja kati ya majimbo yaliyokuwa yanatia msisimko. Ule CCM ya wakati ule ilikuwa na watu weledi. Walikuwa hawana ujinga wa kukata majina ya wapinzani au kuingiza kura vituoni... na kama ilifanyika basi ilikuwa kwa kiwango kidogo. Wapinzani walikuwa mpaka wanashinda kesi mahakamani na matokeo yanatenguliwa.Miaka imeenda Sana .
Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga.
Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa.
Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
Bwana 'n'logo'' unaleta utani? Battle iliyofanya mpaka nyoka wakatoka pangoni ilikuwa ni ya Augustino Mrema VS Sisco, ubunge wa Temeke.Battle ninazozikumbuka kwa haraka kwenye ubunge
Augustino Mrema vs James Mbatia
Titus Kimani vs Raphael Chegeni
Hii ilikuwa balaaBwana 'n'logo'' unaleta utani? Battle iliyofanya mpaka nyoka wakatoka pangoni ilikuwa ni ya Augustino Mrema VS Sisco, ubunge wa Temeke.
Hawa ilika mahala bukoba iligawanyika pande mbili. Pale manisapaa baraza la madiwani liligawanyika timu meya timu mbunge. Ukienda vijiwe vya gahawa sokoni, stand kuna vijiwe timu meya, timu mbunge na timu pinzani ukijichanganya kwenda kwa wapinzani utarudi meno huna. Uhasama wao ulikua mkubwa sana hawa mabwana miradi mingi tu ya kimaendeleo ilishindwa kufanyika bukoba sababu ilikua inakwamishwa kimaamuzi ktk vikao vya madiwani. Ikihisiwa huu mradi kuna nguvu ya mbunge basi timu meya wataenda kuukwamisha kwenye baraza la madini la maamuzi,ivyo ivyo mradi ukionekana kuna mkono wa meya utamishwa na timu mbunge. Pm wakati ule Mzee Pinda aliwapatanisha bila mafanikio.huu moto ulikuwa mkali