Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
Mbona SSH anaendelea kuongelea kesi hii ya Mbowe ambayo iko mahakamani? Huku kama siyo kuingilia uhuru wa mahakama ni nini?Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.
Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria
mama anashusha nondo
kwani si zitto ndio aloanza kuizungumzia na kumuomba mwenzao aachiwe, yy kamjibu kua sheria ifatweMbona SSH anaendelea kuongelea kesi hii ya Mbowe ambayo iko mahakamani? Huku kama siyo kuingilia uhuru wa mahakama ni nini?
Amesema Mbowe amevunja sheria ama wewe umeongezea?Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.
Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria
mama anashusha nondo
Wenzake hujibu 'siwezi kuongelea kesi iliyopo mahakamani'kwani si zitto ndio aloanza kuizungumzia na kumuomba mwenzao aachiwe, yy kamjibu kua sheria ifatwe
Amesema Mbowe amevunja sheria ama wewe umeongezea?
Kama amesema hivyo, basi tayari ameshamuhukumu na kuingilia muhimili wa mahakama ili ufuate anayoyataka yeye. Kama ni kweli kuongea hayo, huyu ataingia kwenye historia ya kuwa rais wa hovyo kuliko wote hapa Tanzania.
Pia kama ametumia hicho kikao chao kuleta mipasho, badala ya kujikita kwenye agenda walizo nazo kama zilikuwepo, kumeonyesha ni kwa jinsi gani utawala huu tumeingia choo cha kike.
Eti CHADEMA waache vitisho na ubabe? Anajuwa maana ya hayo maneno?
Vitisho na ubabe vinatoka kwenye serikali yake kwa mihimili yote mitatu kushiriki kwenye ukandamizaji wa demokrasia na uvunjaji wa katiba ya nchi.
zitto kamuomba tu kwa busara na mamlaka aliyonayo aliunganishe taifa. sasa mambo ya ujeuri wa CDM umekujaje tena hapo?Mbona SSH anaendelea kuongelea kesi hii ya Mbowe ambayo iko mahakamani? Huku kama siyo kuingilia uhuru wa mahakama ni nini?
Mahakama hizo ambazo majaji na jaji mkuu wanateuliwa na huyo huyo anayesema Mbowe kavunja sheria unategemea nini?Kama ni mhimili unaojitegemea, hata kama kweli yeye ametamka maneno hayo, bado haiifanye mahakama imsikilize yeye, mahakama ni mhimili mwingine, chombo huru chenye maamuzi yake... hata CDM wamekuwa wakisema mara nyingi kesi ifutwe na Mbowe aachiwe na ni moja pia la sharti lao kuhudhuria hiki kikao cha leo, hatuoni nao kama wanaingilia mhimili wa mahakama...
Inawezekana Mbowe kaonewa au hajaonewa, tusubiri mahakama iamue na maamuzi ya mahakama ndio yatatupa uelekeo wa next step..
Mama anajisahau kuwa serikali yake ndyo serikali ya vitisho na ubabe!Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.
Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria
mama anashusha nondo
Inashangaza Maza kuing'ang'ania hiyo kesi .... mpaka sasa serikali imeshindwa kujenga kesi ambayo inaonyesha huo ugaidi. Ni Mahakama tu ndiyo inayoibeba serikali ...... nafikiri anachuki ya kususiwa na CDM....!!Mbona SSH anaendelea kuongelea kesi hii ya Mbowe ambayo iko mahakamani? Huku kama siyo kuingilia uhuru wa mahakama ni nini?
Mahakama hizo ambazo majaji na jaji mkuu wanateuliwa na huyo huyo anayesema Mbowe kavunja sheria unategemea nini? Hivi haufahamu ni kwanini katiba mpya ni muhimu ili kuondokana na ujinga huu?
Ikiwa kuna mtu yeyote ambaye yuko “above the law”, hiyo siyo katiba ya wananchi.
Kwenye katiba makini, “no one is above the law”. Hapo muhimili wa mahakama utakuwa huru kweli kweli.
Mbona nyie kila siku mnatoa maneno kuhusu mbowe na press je hamuoni mnaingilia mahakama?Mbona SSH anaendelea kuongelea kesi hii ya Mbowe ambayo iko mahakamani? Huku kama siyo kuingilia uhuru wa mahakama ni nini?
Hicho ndo kinacholeta ukakasi.zitto kamuomba tu kwa busara na mamlaka aliyonayo aliunganishe taifa. sasa mambo ya ujeuri wa CDM umekujaje tena hapo?