Sisi hatuna Mamlaka yoyote nchi hii, ni wapiga kura tu.Mbona nyie kila siku mnatoa maneno kuhusu mbowe na press je hamuoni mnaingilia mahakama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatuna Mamlaka yoyote nchi hii, ni wapiga kura tu.Mbona nyie kila siku mnatoa maneno kuhusu mbowe na press je hamuoni mnaingilia mahakama?
Lengo ukiporwa ushindi utulie, sio kama wafanyavyo chadema kudai haki yao, mie nashangaa wale mashehe na wachungaji wanajukumu gani kwenye shughuli za kitaifa? Dua sana halafu waliopo hapo hapo wanatenda dhambi hadharani ya kuonea wengine, kuto fuata katiba, au dua zile zina kasoro? Hivyo Mungu hazipokei?Mama anajisahau kuwa serikali yake ndyo serikali ya vitisho na ubabe!
Hao CHADEMA wasio na jeshi lolote wakitegemea wananchi waoga kuwaunga mkono wana vitisho na ubabe gani??
Je, CHADEMA walishawah kupora uchaguzi Kama CCM alivyofanya 2019 serikali za mitaa??
Vipi kuhusu uchafuzi mkuu 2020, mbabe na mporaji na mtishaji alikua Nani??
Mama ananyoosha kidole kwa CHADEMA huku vidole vyote vitano vikimrudia yeye!!
Sasa nyie wahuni mlichomfanyia kiroboto kwenye stoo yake sio vitisho?Chadema wanapenda sana siasa za kishamba za kutishana
Siku hizi hamna masheihk Wala wachungaji, njaa inatusumbua sana, lita 10 ya mafuta ya kula ipo around elfu sitin na kitu huko, watakumbuka kusimamia kweli ya Mungu!!?Lengo ukiporwa ushindi utulie, sio kama wafanyavyo chadema kudai haki yao, mie nashangaa wale mashehe na wachungaji wanajukumu gani kwenye shughuli za kitaifa? Dua sana halafu waliopo hapo hapo wanatenda dhambi hadharani ya kuonea wengine, kuto fuata katiba, au dua zile zina kasoro? Hivyo Mungu hazipokei?
Kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kiujazacho moyo wake. Mama ameshaamua kuwa Mbowe ana hatia hivyo lazima afungwe jelaWenzake hujibu 'siwezi kuongelea kesi iliyopo mahakamani'
wewe hujawahi kuiongelea?Mbona SSH anaendelea kuongelea kesi hii ya Mbowe ambayo iko mahakamani? Huku kama siyo kuingilia uhuru wa mahakama ni nini?
Ndiyo maana Ulimwengu alisema Maza haijui Tanzania ....!!Amesema Mbowe amevunja sheria ama wewe umeongezea?
Kama amesema hivyo, basi tayari ameshamuhukumu na kuingilia muhimili wa mahakama ili ufuate anayoyataka yeye. Kama ni kweli kuongea hayo, huyu ataingia kwenye historia ya kuwa rais wa hovyo kuliko wote hapa Tanzania.
Pia kama ametumia hicho kikao chao kuleta mipasho, badala ya kujikita kwenye agenda walizo nazo kama zilikuwepo, kumeonyesha ni kwa jinsi gani utawala huu tumeingia choo cha kike.
Eti CHADEMA waache vitisho na ubabe? Anajuwa maana ya hayo maneno?
Vitisho na ubabe vinatoka kwenye serikali yake kwa mihimili yote mitatu kushiriki kwenye ukandamizaji wa demokrasia na uvunjaji wa katiba ya nchi.
Siasa za kubembelezana zimepitwa na wakati , tz siyo nyumba binafsi ya mtu yoyote , KILA mtu amuheshim mwenzake hasa linapokuja swala la kisiasa, sio kisa una mamlaka Basi watu wakubali KILA Jambo unalotaka, yale yenye maslahi mapana ya Taifa lazima kupiganiwa KWa nguvu kubwa Sana bila kujali vikwazoMheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.
Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria
mama anashusha nondo
Katiba haiusemi udhaifu wake. Ila matokeo ya udhaifu wake yanaonekana wazi kabisa.hiyo hiyo katiba ndio inatuambia Mahakama ni mhimili unaojitegemea na hauingiliwi na mtu..
Jaji kuwa mteuliwa hakumfanyi kushindwa kuamua, kwani jaji anaweza kutenguliwa ujaji?.. hapa ni utashi binafsi wa jaji mhusika kuamua kufuata sheria au kusikiliza mamlaka...
Hata hiyo katiba mpya ikiwepo bado jaji anaweza tu kuamua kuweka weledi pembeni na akaamua kwa utashi wake na tusimfanye kitu... KENYA WANA KATIBA MPYA LAKINI KILA SIKU TUNASHUHUDIA HIYO MIGOGORO YA KISHERIA NA WATU KUISIGINA KATIBA...
Hakuna Mahala Katiba hii tunayotumia imesema Rais yuko juu ya sheria....mihimili iko mitatu na yote inajitegemea.....Katiba inasimamiwa na watu, watu wasipostaarabika wataivunja tu hata iweje..
Alikuwa sahihi bila shaka.Ndiyo maana Ulimwengu alisema Maza haijui Tanzania ....!!
Political maturity my foot!! Kuzungumzia kesi iliyoko mahakamani tena kwa kumsema vibaya mtuhumiwa unafikir hao majaji wa michongo wanapata ujumbe gani?That is a Political maturity..... hongera Rais Mama Samia kwa kufahamu na kuzingatia kanuni mojawapo muhimu ya kidemokrasia ambayo viongozi wengi wa Kiafrika wameshindw kuizingatia.
Huu ni ujinga kama ujinga mwingine wowote. Anayeshika watu na kuwafunguliza kesi za kubambikiza ndiye mwenye vitisho. Anayeteka watu kwa kutumia watu wasiojulikana ndiye mwenye vitisho.Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.
Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria
mama anashusha nondo
Za kutekana kupigana risasi mchana kkweupe umeyasahau?Chadema wanapenda sana siasa za kishamba za kutishana
kwani si zitto ndio aloanza kuizungumzia na kumuomba mwenzao aachiwe, yy kamjibu kua sheria ifatwe