Siasa za kutishana hazitoimarisha Amani- Rais Samia

Siasa za kutishana hazitoimarisha Amani- Rais Samia

Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.

Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria

mama anashusha nondo
Anazungumzia sheria ipi iliyovunjwa? Kesi hii hii iliyopo mahakamani, au kuna kesi nyingine inayomhusu Mbowe?

Hivi hawa watu wanapopata madaraka na kuwaingia vichwani wanasahau kwamba watu wanazo akili za kufikiri na kujuwa ukweli?
 
Back
Top Bottom