Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Dec 15, 2021 #41 Ccm ndio wanaongoza kutisha wenzao kwa kutumia policcm
K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,187 Reaction score 17,167 Dec 15, 2021 #42 Mtu wa Pwani said: Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo. Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria mama anashusha nondo Click to expand... Anazungumzia sheria ipi iliyovunjwa? Kesi hii hii iliyopo mahakamani, au kuna kesi nyingine inayomhusu Mbowe? Hivi hawa watu wanapopata madaraka na kuwaingia vichwani wanasahau kwamba watu wanazo akili za kufikiri na kujuwa ukweli?
Mtu wa Pwani said: Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo. Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria mama anashusha nondo Click to expand... Anazungumzia sheria ipi iliyovunjwa? Kesi hii hii iliyopo mahakamani, au kuna kesi nyingine inayomhusu Mbowe? Hivi hawa watu wanapopata madaraka na kuwaingia vichwani wanasahau kwamba watu wanazo akili za kufikiri na kujuwa ukweli?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 15, 2021 #43 mjingamimi said: Kwa hyo wanataka kumfunga[emoji15][emoji15] Click to expand... Ndicho walichopanga
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 15, 2021 #44 Tajiri Kichwa said: Ccm ndio wanaongoza kutisha wenzao kwa kutumia policcm Click to expand... Hata wao wanajua vizuri sn
Tajiri Kichwa said: Ccm ndio wanaongoza kutisha wenzao kwa kutumia policcm Click to expand... Hata wao wanajua vizuri sn