SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

Waswahili walisema, mzaha mzaha hutumbuka usaha!! Kizazi hiki kimeshaanza kusahau makali ya bomu la nyuklia kiasi cha kuthubutu kupambana na taifa lenye silaha hizo!! Mambo yanavyoendelea ni muujiza tu utaiepusha dunia kushuhudia kwa mara nyingine tena matumizi ya bomu la nyuklia!!
Duuuh kuhusu hii habari nimeijua leo, basi mwenye nguvu aheshimiwe tu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Wewe hebu nyama mbona unayaelewa mambo kinyume na maumbile? Ni mara ngapi Putin alitaka maridhiano tena ya mezani walimkatalia? Unaufahama mkataba wa MINSK? kaanze upya kupitia document zako juu ya mzozo huu nakuhakikishia huyo Emmanuel Macron angeenda kwa Putin mapema kabla ya vita pengine tusingekuwa hapa wewe unaona hilo ni bwawa la Petroli kuna mtu kashika moto anaonywa mara kadhaa aache yeye hataki anaamua kuliwasha bwawa sasa moto unawaka ndo wanataka kulazimisha moto uzime haiwezekani kila taifa duniani lina miiko na maadui zake nikuambie tu kuwa kuna mataifa mawili duniani yaani URUSI na USA mfano ikitokea leo Urusi ikapeleka silaha labda za kujihami MEXICO hakika US ataiambia mekiko iachane na huo mpango na ikiziba masikio itapigwa ndivyo hivyo kwa ukraine alipopokea mizigo ya aina hiyo kutoka magharibi saa hii anakula kichapo.
Ikifikia unadeal na mmojawapo kati ya USSR au US you need to be extra careful ukimess ujue unapigwa au uwe tayari kupigana hakuna compromise wala sovereign state hiyo ndiyo siasa ya dunia.
Ebu tuletee mkataba wa Minsk tuuone maana unaipendelea urusi pekee....Vp kuhusu ukraine,Moldova na Georgia na finland na latvia na beralus.. . Ebu uweke mezani tuuone
 
Duuuh kuhusu hii habari nimeijua leo, basi mwenye nguvu aheshimiwe tu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
urusi ndio inaoongoza kuwa na mabomu mengi ya nuclear
Screenshot_20230624-122340.jpg
 
Back
Top Bottom