Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema.
Je naye TL mikito yake si mnaijua?
Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana.
Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora.
Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa wanatukana.