Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

Lile jamaa bishi kinyama.
Likiambukiza watu wote zile tabia, nchi hawezi kutawalika.
 
Nijilinganishe na mpuuzi yule ,acha masihara basi

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Ukioneshwa dole la kati unapanic ushajua limekuingia kwenye sehemu ya kutolea msosi ulio kula.

Relax [emoji16] Tundu anakutundua umzidi Kila kitu akili,elimu,Sheria,siasa,kujulikana na viongozi.
Wewe hata mjumbe wa nyumba kumi hakufahamu
 
TL Namuona ni mtu mjinga mjinga fulani Ingawaje wapo wanaomtukuza na kumuona kama mtu bora kabisa, we differ in I. Q and intelegency akili yangu inamuona wa hovyo tena asiye na shukurani.

“…….tena hasiye na shukurani.”

Anatakiwa amshukuru nani? Kwanini?
 
Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema.

Je naye TL mikito yake si mnaijua?

Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana.

Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora.

Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa wanatukana.
Kusema kwamba hatukulelewa ni kuwatukana wazazi wetu waliotulea kwa tabu sana
Hawa viongozi wa ccm ndiyo tuna mashaka na malezi yao hawana utu, huruma wala uzalendo hata punje huwenda walipasuka tu kwenye miti wakawa binadamu

Mimi siyo mwanasiasa lakini ukiniambia nimjibu huyu mama naweza kumjibu kwa kila alichoongea na akajiona ameongea pumba

Nimesikiliza hotuba huku nikiona aibu rais anaongea mambo ya ajabu

Hivi ana walimu wa kufunza watu hiyo katiba na wakaielewa?

Hivi alichoongea si ni sawa tu na kusema
Watu wafundishwe sheria kabla ya kuwa na sheria?
Huu ni utovu wa akili
 
Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema.

Je naye TL mikito yake si mnaijua?

Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana.

Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora.

Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa wanatukana.
Hakika tunasubiria ajibu kwa nguvu! hauwezi kusema watu hawana maadili, hawajapata mafunzo ya dini ya utotoni wakati wewe unasimamia Wamasai kuteseka kinyume na haki za kibinadamu na wenzako unaowasema wanapambana mbele ya mitutu ya bunduki kusaidia Wamasai kupatiwa haki zao za kibinadamu! Hapo aliyefunzwa na kushika mafunzo ya dini ni yupi?
 
Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema.

Je naye TL mikito yake si mnaijua?

Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana.

Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora.

Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa wanatukana.
Aahaaaaa
 
TL ni kichaa wa Mirembe ni binadamu ambae hafai kuwa kwenye jamii hata hao CDM waliopa Umakamu Mwenyekiti nao ni mazezeta tu
 
Back
Top Bottom