Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
TL ni mpuuzi mmoja sana anayejiamini ila kichwa maji sana yuleDuniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema.
Je naye TL mikito yake si mnaijua?
Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana.
Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora.
Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa wanatukana.
Acha wivu.TL ni mpuuzi mmoja sana anayejiamini ila kichwa maji sana yule
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Unaweza kujilinganisha naye?TL ni mpuuzi mmoja sana anayejiamini ila kichwa maji sana yule
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Mtu ambaye Mkutano wa Kitaifa woote umesimama ukaanza kumwongelea Yeye, Tundu Lissu ni zaidi ya umjuavyo.Unaweza kujilinganisha naye?
Ndio mchezo wa siasa. Kupingana bila kupiganaMama kapanic
Hakika.Anajua kugawa pilipili kichaa.Ukiila inawasha "domoni" hadi "tumboni" yake.Mtu ambaye Mkutano wa Kitaifa woote umesimama ukaanza kumwongelea Yeye, Tundu Lissu ni zaidi ya umjuavyo.
Tulishaonya TL ni level nyingine.
Nijilinganishe na mpuuzi yule ,acha masihara basiUnaweza kujilinganisha naye?
CCM hawapendi kujibu hoja nzito.Acha wivu.
πππππNgoja nitulie nimuone nani mpuuzi.Nijilinganishe na mpuuzi yule ,acha masihara basi
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Wanakimbilia matusiCCM hawapendi kujibu hoja nzito.
Mkutano woote leo umeingia Shubiri wageni waalikwa Mabalozi Wa Nchi mbali mbali wameamini TL sio mtu wa kawaidaπππππNgoja nitulie nimuone nani mpuuzi.
Ila yule jamaa anajua kurusha watu wazima roho!
Rais kanyoosha mikono na kusema ataenda nao tu watu sample ya Lissu.Ameongeza kwamba kuna watu ndivyo walivyozaliwa.πππππMkutano woote leo umeingia Shubiri wageni waalikwa Mabalozi Wa Nchi mbali mbali wameamini TL sio mtu wa kawaida
Dunia ina watu wajinga kweli kwani ana level gani? Ya kipekee?, (kweli upuuzi hautakwisha kwa upunguani wa aina hii)Mtu ambaye Mkutano wa Kitaifa woote umesimama ukaanza kumwongelea Yeye, Tundu Lissu ni zaidi ya umjuavyo.
Tulishaonya TL ni level nyingine.
Alichojitetea mama ni kile ambacho nyie chawa mlitakiwa kufanya.Dunia ina watu wajinga kweli kwani ana level gani? Ya kipekee?, (kweli upuuzi hautakwisha kwa upunguani wa aina hii)huu
Rais Samia kiukweli hana roho mbaya. Istoshe Dr Samia amewahi kufanya kazi ofisi moja na TL so anamjua vizuri wala hawana ugomvi zaidi ya chuki za mafisadi wa ccmRais kanyoosha mikono na kusema ataenda nao tu watu sample ya Lissu.Ameongeza kwamba kuna watu ndivyo walivyozaliwa.πππππ
Kwani kuna uhuni gani?Dunia ina watu wajinga kweli kwani ana level gani? Ya kipekee?, (kweli upuuzi hautakwisha kwa upunguani wa aina hii)
CODES OF ETHICS WALIZOKUBAKIANA NI LAZIMA ZIFUATWE NA ENDAPO MTU AKIZIKIUKA AWEKWE NDANI TU, HAIWEZEKANI KULEA UPUMBAVU NA UHUNI.
Akili ya TL labda ukusanye ccm wote hata waliokufaga miaka mingi ndio kwa mbaali mtamkaribiaπ€£π€£π€£TL ni mpuuzi mmoja sana anayejiamini ila kichwa maji sana yule
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app