Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

Unaswaga wamasai kama ng'ombe unawaita wanaokupinga eti hawana maadili ya dini
 
Mama alitakiwa ajibu hoja za wananchi
 
Dunia ina watu wajinga kweli kwani ana level gani? Ya kipekee?, (kweli upuuzi hautakwisha kwa upunguani wa aina hii)
CODES OF ETHICS WALIZOKUBAKIANA NI LAZIMA ZIFUATWE NA ENDAPO MTU AKIZIKIUKA AWEKWE NDANI TU, HAIWEZEKANI KULEA UPUMBAVU NA UHUNI.
Wewe tutambie TL kakiuka codes zipi? Zile za kukubaliana mdomoni au zilizoko kwenye Katiba na sheria zetu?
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maza pumzi imekata amebaki na polisi pekee
 
Hii serikali mpaka kiti cha enzi kitakuwa kigumu kukalika kwa mtiti utakao fuata. Mpaka walichomfanyia JPM watakitamka hadharani na hapo ndipo shughuli itakavyokuwa moto usiozimika
 
Hii serikali mpaka kiti cha enzi kitakuwa kigumu kukalika kwa mtiti utakao fuata. Mpaka walichomfanyia JPM watakitamka hadharani na hapo ndipo shughuli itakavyokuwa moto usiozimika
Kuwani unataka kusema walimfanyia nini?
 
CCM inaendeleza umasikini nchini Kuna haja gani kuendelea mayo Hadi miaka hii Neno Moja tu wanakimbilia police.Na nyie police kuweni waelevu wambieni wazijibu hoja.Hamuone police wa Kenya na Odinga.
 
CCM inaendeleza umasikini nchini Kuna haja gani kuendelea mayo Hadi miaka hii Neno Moja tu wanakimbilia police.Na nyie police kuweni waelevu wambieni wazijibu hoja.Hamuone police wa Kenya na Odinga.
Sahihi
 
Nijilinganishe na mpuuzi yule ,acha masihara basi

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa yule hana la maana. Tundu ni kama jongoo akiguswa tu anaacha safari anajikunja. Yeye Tundu yakimzidia tu anakimbilia ubalozi ili akasindikizwe kwenda ughaibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…