Siasa zimezidi The Law School of Tanzania. Hiki chuo kimulikwe!

Nimefanya mtihani mwezi Juni 2022 na matokeo yaliyotoka juzi nimeulpata supplementary, hii ikiwa ni mara ya 10 hivi,

sababu ya kufeli:
Mimi : Ninaonewa na LST, nafelishwa, mitihani haisahishwi hata kidogo
LST: Sababu, hujiandai vyema, unaandika story nyingi kwenye majibu bila kuweka authorities, hauendi straight kwenye point, Rudia tena, sisi system yetu ni very transparent, hatuonei mtu. Tuko wazi sana kwenye usahishaji

Mimi: Ninataka nikate Rufaa Lakini sababu za kukata rufaa hapa LST ni mbili tu, usahishaji mbaya (bad marking) au ujumlishaji usio sahihi wa maksi (wrong computation), sasa nawezake kukata rufaa kwa sababu hizo pasipo kuona pepa niliyoandika majibu?? Maana siwezi kujua kama nimesahishiwa vibaya pasipo kuona pepa ya majibu, vivyo hivyo siwezi kujua kama maksi zimekosewa kujumlishwa pasipo kuona pepa niliyoandikia majibu!!

LST: Shahada yako ya sheria ulisoma chuo gani?

Mimi: Ntokela University

LST: Huko Ntokela mlikuwa mnarudishiwa pepa za majibu (answers booklet)?
Mimi: Hapana, ila shule hii ni ya kitaaluma (professional) ni tofauti na hizo nyingine

LST: Toka nje, kama hujaridhika andika barua kwa waziri..
 
Kwamba mtu kasoma sheria Hadi Ph.D lakini kafeli LST haya ni Tanzania tu no wonder:

"Ways to hell are paved with good intentions."
-kwani PhD ndio kujua sheria? Phd ni just specialization eg PhD in land law, sasa ukiwa law school unafundishwa masomo mengi sana Anaweza akafaulu hiyo land law(conveyancing) halafu akafeli Core subjects zote hence discontinue.
-PhD kwenye legal practice haikusaidii kivile, ndio maana Mawakili wengi wanaojua sheria hawana hata hizo PhD eg Lissu,Kibatala,Mallya,Nashon Nkungu,Faraji Mangula,
-PhD ni wazuri kwa kufundisha na sio legal practice
 
Nafikiri hujamuelewa mtoa mada. Anachosema ni kuwa, kigezo cha kuingia LST ni kuwa na shahada ya Sheria (LLB). Sasa watu wenye LLB, LLM na PhD (LLD) ni wabobevu wa sheria anashangaa inakuwaje wanafeli hapo LST? Yaani LLB umesoma masomo yote yaleyale yanayofundishwa LST halafu unafeli yote na kudisco ilhali digrii yako bado ni valid kabisa, tafsiri ni nini? Tafsiri inakuja kuwa digrii uliyopata ni duni sana kiasi cha kushindwa kufaulu masomo hata 4 ya LST ambako unafundishwa masomo yaleyale (marudio), tafsiri ni kuwa vyuo vikuu Tanzania vinavyotoa shahada za sheria vina walimu wabovu na wanaofundisha chini ya kiwango na kuwapa watu digrii kumbe hao watu hawana kitu wanachojua. Hii inatosha kufanya wizara ya elimu kuangalia kwa jicho la karibu hivi vyuo vikuu vya Tanzania. Kama tatizo sio vyuo vikuu basi tatizo ni LST, Ndivyo anavyosema mleta mada.

Hiyo ishu ya kupractice na PhD, sio kweli kuwa haikusaidii kivile kama usemavyo, ungewaweka kwa orodha hapo kina Dr. Tenga, Dk. Lamwai (late), Dr. Ndumbaro na wengine useme kuwa ni weupe kuliko wasio na PhD
 
-watu wenye LLM,na LLD wanaafeli law school kwa sababu hizo ni specialization tu i.e LLM IN CRIMINAL LAW,LLM IN HUMAN RIGHTS, PHD in Land law,criminal law wanafeli kwa sababu Law School wanafundisha vitu vingi sana eg Legal drafting, civil procedure , criminal law,land law,commercial law,advocacy skills,Ethics,human rights ,probate,etc na law school usichokijua wanafundisha procedure amabazo kimsingi kwenye Degree ya sheria mara nyingi hawafundishi, wanafundisha jinsi ya kuandaa documents za kisheria kitu ambacho vyuoni mara nyingi havifundishwi, basically Law school wanafundisha sana sana procedure za kisheria, documents za kisheria, statutory interpretation kwa mbali, na substantive part ya sheria kwa hiyo sio marudio perse kama unavyodhani.
-Yeah ubora, uduni wa elimu pia unachangia kufeli kwa wanafunzi
-hao wenye PhD ndio wanapigwa mapingamizi mengi ya kisheria kwenye kesi zao kwa sababu wengi wao wanajua substantive part of the law na sio procedural part of the Law, procedure ndio zinatumika mahakamani ndiyo maana unasikia mtu kawekewa pingamizi tafsiri yake ni kwamba amekosea utaratibu i.E procedure .
-Kingine sio kila mtu lazima awe Wakili, mbona hampigii kelele NBAA na watu pia wanafeli sana.
-
 
LST ndio wanawaaminisha watu kuwa wanachofundisha ni procedure na sio substantive kama usemavyo. Somo la Legal drafting ni kozi inayofundishwa vyuoni, lina tofauti gani na drafting ya LST? Kwenye Civil Procedure huko vyuo vikuu wanafubdisha habari gani kama sio procedure za kesi za madai kama tu zinazofubdishwa LST? Huo ni mfano tu, hoja ni kuwa ufaulu wa LST una walakini, wanafunzi wanalalamika badala ya uchunguzi kufanyika lawama zinarudishwa kwa wanafunzi kuwa ni wazembe na hawasomi. Watu sio lazima wawe mawakili, lakini huwezi kuwanyima fursa ya kuwa mawakili kwa sababu tu wewe mwalimu ndio mtu wa mwisho kuamua. Shule inasema sifa za walimu pale ni kuwa wakili mkongwe, si wamlete kibatala au Lissu kufundisha..hawataki, shule imejaa siasa tu, hata upatikanaji wa walimu wake haueleweki, hakuna matangazo ya ajira nk hiyo ndio misingi ya kutokuwepo kwa transparency
 
Naomba hili swali Pascal Mayalla aje akujibu maana yeye katoboa kwa njia zipi
 
-kuhusu civil procedure hapo ni documents za kisheria ndio zinawaangusha wanafunzi, bottom line masomo kama Civil procedure, criminal procedure,advocacy skill, wanafunzi wengi huwa wanayafaulu tena kwa grade nzuri tu, masomo yanayotesa wanafunzi ni Ethics, Conveyancing,commercial law, tafsiri yake ukifeli Criminal,Civil procedure kuna possibility kubwa ya ww kufeli kwa sababu hayo ni masomo rahisi kwa Law School
-Kuhusu kuajiri Lecturers Law school wanatangaza sana kazi hata juzi juzi tu walitangaza kazi kupitia ajira portal,
 
Mkuu hiyo ya juzi ndio ajira almost pekee iliyotangazwa kwa walimu hapo, kabla ya hizi za juzi hakukua na utangazaji ajira zaidi ya nafasi ya principal. Matokeo ndio kukawa na wafanyakazi walimu ndugu, mtu na mdogo mtu wanafundisha kama kina Chuwa, kina Nditi nk. Anyways huu sio mjadala wa maana kuhusu wao kupeana nafasi, wapeane tu ila sasa kuonea watu hapo sio sawa. Yaani mtoto wa form four anapokata rufaa Necta mtihani unasahishwa tena na yeye akiwa anashuhudia, inakuwaje LST wanaofundisha wanafunzi ili watetee wananchi ikiwa ni pamoja na kukata rufaa za kesi zao, kukatazwa kushuhudia usahishwaji wa mitihani pindi wanapokata rufaa??

Yaani unakata rufaa hewani, haujui hata ulichoonewa kwenye mtihani ni kipi, sababu hujaona mtihani wako. Sheria ya usahishaji na ukataji wa rufaa wameifungia makabatini hawataki wanafunzi waifahamu, yaani mpaka Barunguza anaenda mahakamani kuomba apewe nakala ya sheria, wanaficha nini?? Na mahakamani bado wanapinga hawataki kutoa nakala ya hiyo sheria, matokeo hawataki kutoa maksi kwa namba, ukiuliza sababu wanasema ndivyo walivyoamua, au wanakuambia ukijua umepata F ya 23 itakusaidia nini?? Sasa hapo mtihani ni wa kwao walimu au wa mwanafunzi? Kwa nini wamnyanyase hata kujua alama alizopata, na bado wanajinasibu kuwa wana transparency
 
Kwa hakika hii nchi ni ngumu sana. Mambo yote hata yasiyopaswa yamegeuzwa kuwa siasa siasa tu.

Hili la law school nalo kwa hakika ni shida.

Examination Results

Hiyo ni "site' yenye matokeo yaliyotoka tangia jumatano 5/10 lakini hayafunguki.

Waliofeli, watatakiwa kwenye supplementary zitakazoanza jumatatu 10/10.

"Watajua vipi wanafunzi waliofeli kuwa wamefeli na kujiandaa tokea kokote waliko Tanzania, kufika kwenye mtihani Dar kwa wakati?"

Hayupo anayejali ila kukusanya pesa za ada tu.

Mass failures ni jambo la kawaida kwenye chuo hiki. Takwimu zinaonyesha si nadra wanafunzi 30 tu kufaulu baina ya wanafunzi 400. Kwa uhalali upi?

Wanafunzi hawa huwa ni wahitimu wa shahada za kwanza, wengine wakiwa na shahada za uzamili na hata za uzamivu. Walimu Law School ni hawa hawa wanaofundisha UDSM na vyuo vingine.

"Iweje wanafunzi hao kufeli law school wanapokuja kusoma kwa mwaka mmoja tu, kwa walimu hao hao?"

Mazingira wezeshi kabisa kwenye zile rushwa zetu pendwa za ngono na mauzo batili ya notes.

"Iweje kitabu 'original' kilichoandikwa na mwalimu husika kuruhisiwa kuingia nacho kwenye mtihani, lakini siyo photocopy ya kitabu hicho hicho?"

Kwa hakika kuna mengi ya kuangaliwa kwenye vyuo hivi vinavyoendeshwa na walimu miungu watu.
Ni kula kwa urefu wa kamba,nchi hii kila kitu ni Cha kuuza,
Polisi wa Dar,wanachukua buku mbili kwenye kila daladala!!kila siku,ndio utaratibu waliojiwekea,na ni lazima,
Ukienda uhamiaji,passport haitoki mpaka utoe buku kumi kwa pembeni,pesa ya wakubwa.
Ukienda manispaa ramani,hati ya ujenzi haitoki,mpaka hao mipango miji uwape pesa,au ramani waichole wao,
 
lissu alitoa hoja gani kuipinga Law school ?.
Gharama - kulazimisha wanafunzi waende Dar kukaa miezi zaidi ya 7 kwa shule isiyo na hostel, na kujitegemea chakula ilhali wangeweza kufanya intenship kwenye ofisi za mwanasheria wa serikali zilizoko mikoani kwao

Ubora wa mawakili wa LST ukifananisha na ubora wa mawakili ambao hawajapita LST - hoja ni kuwa hakuna cha maana kinachopatikana hapo LST kwani mawakili wasiopita LST wameonekana kuwa bora zaidi mahakamani kwenye praktisi kuliko ya waliopita LST

Malalamiko ya wananchi kuwa shule ni mradi wa walimu wachache. Hoja ikiwa ni katazo la kuifanya iwe na rotation kwa vyuo mbalimbali au kuwa ya kikanda ili kupunguza gharama kwa wanafunzi nk
 
Back
Top Bottom