sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Nimefanya mtihani mwezi Juni 2022 na matokeo yaliyotoka juzi nimeulpata supplementary, hii ikiwa ni mara ya 10 hivi,
sababu ya kufeli:
Mimi : Ninaonewa na LST, nafelishwa, mitihani haisahishwi hata kidogo
LST: Sababu, hujiandai vyema, unaandika story nyingi kwenye majibu bila kuweka authorities, hauendi straight kwenye point, Rudia tena, sisi system yetu ni very transparent, hatuonei mtu. Tuko wazi sana kwenye usahishaji
Mimi: Ninataka nikate Rufaa Lakini sababu za kukata rufaa hapa LST ni mbili tu, usahishaji mbaya (bad marking) au ujumlishaji usio sahihi wa maksi (wrong computation), sasa nawezake kukata rufaa kwa sababu hizo pasipo kuona pepa niliyoandika majibu?? Maana siwezi kujua kama nimesahishiwa vibaya pasipo kuona pepa ya majibu, vivyo hivyo siwezi kujua kama maksi zimekosewa kujumlishwa pasipo kuona pepa niliyoandikia majibu!!
LST: Shahada yako ya sheria ulisoma chuo gani?
Mimi: Ntokela University
LST: Huko Ntokela mlikuwa mnarudishiwa pepa za majibu (answers booklet)?
Mimi: Hapana, ila shule hii ni ya kitaaluma (professional) ni tofauti na hizo nyingine
LST: Toka nje, kama hujaridhika andika barua kwa waziri..