Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

AnyWayZ

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2022
Posts
4,880
Reaction score
8,424
Asalaam,

Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.

Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.

Mimi hata niwe na magumu kiasi gani ninapokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.

Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndio linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, nyie wanawake ndio mlivyo au ni mimi sijui ku-care?

Mliooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
 
Asalaam,

Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.

Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.

Mimi hata niwe na magumu kias gani napokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.

Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndo linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, Nyie wanawake ndo mlivyo au ni mimi sijui kuCARE?

Mlooa mnawezaje kumaster hii changamotio, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Subiri uumwe mkuu utawakumbuka tu

M.niliwahi kimbia nyumba nkahamia goba mwezi tu nkajisikia afya siyangu mwili unataka kutengana na roho eee nkarudi na godorlo langu best niliponaa gafla nkaacha kodi ya miezi4 asikwambie mtu
 
Asalaam,

Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.

Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.

Mimi hata niwe na magumu kias gani napokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.

Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndo linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, Nyie wanawake ndo mlivyo au ni mimi sijui kuCARE?

Mlooa mnawezaje kumaster hii changamotio, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Mimina wewe hatuchekani,kuanza kubembeleza limali jituzima siwezi
 
Asalaam,

Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.

Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.

Mimi hata niwe na magumu kias gani napokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.

Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndo linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, Nyie wanawake ndo mlivyo au ni mimi sijui kuCARE?

Mlooa mnawezaje kumaster hii changamotio, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Muombee Mungu sana, usipatwe na changamoto katika katika maisha, ambayo mtu pekee ambae hawez kukuonea kinyaa kukusaidia ni mke au Mama mzazi ....

fikiria,
hujaoa, umri umeenda, umepatwa na changamoto nzito, ndugu jamaa na marafiki wanakuonea kinyaa kukusaidia changamoto yako, uchumi umeyumba n.k

Aise,
mke au mume ni mtu muhimu sana asiee kwenye kukusitiri 🐒
 
Ni sahih mkuu, ebu nisaidie hapo kwenye Mood swings huwa mnawafanyaje ?
 
Back
Top Bottom