AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
- Thread starter
- #41
Sahih sana, hatuoi ili tusaidiwe tukipata matatizo tunaoa ili tuenjoy maisha na ubora wa safar haupimwi mwishoni kama GPA ya Diploma, uboracwa safar ni average day to day scores.Umuhimu upo ila uo umuhimu uuone pia wakati wa raha sio uuone kwa faida ya kipindi cha matatizo.