Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie si ndio mnataka 50/50?Mwanaume asiyejua kubembeleza❌
I no sabiAstakafillah astakafillah astakafillah
Mkuu, epuka magomvi na mwanamke mara nyingi ni risky kwa mwanaume haijalish nani mchokozi.Nimeandika juuu tulikunywa ndan chumban gafla kulikuwa b
ma mechi nkaenda bar ya hotel kuangalia kurudi nakuta demu analia nkaona mmh simuhii
nkaomba radhi nkajua ameniewa amalize kulia akanifwata why this why m pdidy nkala mbwaa kibao sijawahi pigwa na wazazi nkasema hapa niwe mpole tu nikifanya mchezo ataniitia polisi loh akaongea kamaliza kabamiza mlangooo mpwa amefunga nkapaki vtu fasta nkhama Lodge na nililpa Week nzima nkajua akija huuyu anaweza rudi na kisu loh..
keshoyake nkapiga asbh kwa manager wa hotel kadai kama mapema yupo bar anakunywa nkazima na simu kabisa...mabinti wa tarime mara sio wa sport sport ukicheza unaondoka..mbya kipindi hicho kila ukifungua i
mke amkatakata mume tarime...mume kampiga kisu mkewe mara 😂 isiwe taabu
Lile eneo nimeweka kwangu list ya eneo hatarishi
Wapi ukoKumbe mpo wengi eeh
Acha kabisa mkuu, sina hata mwezi nimehudhuria msiba wa mzee ambaye ana watoto wa kutosha na wenye uwezo kiuchumi ila kafariki kwa kukosa matibabu.Safi kabisa, uvumilivu wa binadamu una kikomo na by nature mtu ni mbinafsi.
Pengine pesa zako zitakusaidia utahudumiwa na MaNurse mpaka mauti yako ila huku nje familia ikigombea utajir wako tu.
Safi kabisa, hakuna muda wa kuforce furaha kuna muda wa kuenjoy tu. Ni wanafiki hawa ukute unabembeleza unaomba na msamaha kumbe ana hasira za kuachwa na kibenteni wake.Mimi Kama Mungu wangu nitakuwa namkosea basi anisamehe ila mwanamke hata Anitolee figo naona kama ananiigizia tu ndo mama IKitokea amechoka maigizo Yasio na matokeo inakuwaga like
Her: Yofav i think we need a break maana naona hamna vision kati yetu.
Me: Yah Yah, Its Fine.
Walaaa haihitaji akili nyingi kumuelewa mwanamke. Be a man.Lazima uwekeze matumizi mabaya ya akili na muda ili kuwaelewa nyie watu, mimi nawaza sana Pesa, Kazi, Muziki na Pombe-S*x kiasi. Mahaba siwezi kabisa na hayo kwenu ndo akili, right?
💯 kabisa kakaaaaMkuu, epuka magomvi na mwanamke mara nyingi ni risky kwa mwanaume haijalish nani mchokozi.
Mimi nimechagua kujiondokea na kwenda kwa wengine wenye furaha kama mimi kwa wakat huo yeye kanuna.
Kumbe naongelewa mimi apo,😂😂😂 mxiuuu ebu acha ujinga wew,,huu utani umepitiliza sasa khaah 😂😂😂🙌🏾Punguza ukali sasa 😁😁😁🙌🙌🙌🙌
😁😁😁😁 Ni wewe ndio ni weweeKumbe naongelewa mimi apo,😂😂😂 mxiuuu ebu acha ujinga wew,,huu utani umepitiliza sasa khaah 😂😂😂🙌🏾
Mama hunambia oa uanze kuzaa ujenge familia ni muhim kwa future na uzee wako. Mimi humjibu Mama kuoa oa na kuzaa zaa sio kipaumbele changu maana sidhan kama kwenye mke au watoto kuna warantee ya msaada uzeeni zaidi sana ni kubeba tu majukum. Nampa na mfano si unaona Baba yenu kawazaa wengi ila wenzio wote hawana msaada nae.Acha kabisa mkuu, sina hata mwezi nimehudhuria msiba wa mzee ambaye ana watoto wa kutosha na wenye uwezo kiuchumi ila kafariki kwa kukosa matibabu.
Nilichogundua, cha muhimu ni kutafuta pesa ili upunguze utegemezi ili ikifikia mambo yameharibika uwe na alternatives. Ukitegemea mke, watoto au marafiki wa karibu, hakuna guarantee kuwa hawatokuacha baada ya muda flani
Sasa nawew ulijua ku risk life lako aseeee cm inakosaje password au ulimwambia 🤣🤣🤣🤣,,af demu wa mara aseeee usirudie tenaNilienda mara mwaka flan nkajiingjza mahusiaano na ka dada flan akawa akija tunarekebisha anaondoka weekend nikonqe poa s
Siku kashikq siamuyqngu niko bar kurudi ndan nkaona analia alipomaliza kulia nkamwambia sorry nn shida akanza nionyesha mamsg mmmh nkaona hapa n kuwa mpole omba samahan hawajui hioo
Dk 0 nkasikia.kibao kioiniingia nkasema nxty huyu ataniua nkamwomba tena radhi akaondoka amebamiza mlango kwan nililalaa tena ile.lodge kwa zakaria
Yaan kaondoka nkajua anakuja k na kisu huyu mambo ya its kapigwa kisu na gfriend mara nani anataka
Nkabadili Hotel pona yangu..nkachukua namba za manager napiga anasema kama toka saa moja kakaa bar anakunywa kvant loh nkazima na simu sikunzima
Kuna wengine hawanaga masiharaa yaan wanawake wa wa tarime acheni tu..sijui ni e nyongo inawapa nguvu eanajina lake kichuri loh
Niliapa nikienda kule bakaa single mpaka nimalize kazizangu
Mimi naogopa sana ndugu yangu, najua binadam hatufanani hisia tukishatofautiana tu sijikuti Sharu Khan napotea mapema sana kujiepusha na matatizo.💯 kabisa kakaaaa
Majuzi nilikuwa uganda nkaita shemeji yenu .mmoja nilizaa nae akaja na rafikie
Pombe hizi tumekùnywa kaenda choose nkatoa namba kwa jiran...sijui yalioendea asbh naona. Binti analia. A nyotta kweli ya kulia gafla kafunga begi lake kaanza..
Huyu kidogo tofauti mzazi..piga sana akimya andikaa msg sana kimya nkaona nimpe space....
Nikaomba kubadilisha room 3rd day anakuja ndio ananieleza kilichotokea nkamwambia sorry was drunk na yule demu ndie aliomba namba yangu tukaenjoy mpaka naondoka
Yaan bora wa bongo mkuu South Africa usithibutu kupigana ama mwanamke apige ukungq utajuta kuzaliwa